Kuna wanawake waliosalimika

Nimeshtuka kwanza.
 
Wapo ila wachache mnoo kwa haraka haraka hawa wa rika la balhe mpaka 50 hvi.. katika wanawake 10 basi 6 mpaka 7 hivi kati yao ni shika mkono twende. Wapo wanaojiuza official na unofficial.

Wasiojiuza ni wachache mnoo
 
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ma mkwe, usiende mahali, kidhati mliopoa ni nyinyi wachache, wengi ni wadangaji mkwe wangu.

Nisamehe nimeongea maneno mazito ma mkwe...
Kwako mwanangu kapata kifaa na nakuaminia, vijana wanasema huna mba mba mba..🀣
 
Ma mkwe, usiende mahali, kidhati mliopoa ni nyinyi wachache, wengi ni wadangaji mkwe wangu.

Nisamehe nimeongea maneno mazito ma mkwe...
Kwako mwanangu kapata kifaa na nakuaminia, vijana wanasema huna mba mba mba..[emoji1787]
Mwanao mda si mrefu nambwaga...ye mwenyewe mizinguo tu
Mume chenga,ba mkwe chenga...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23] Wewe umejiuzaje? Au umekopesha (timing to have a future with) ? Au mnacheza Upatu na mwenzio ile like toa nitoe AKA kutegemeana?
Nafikir nimekopesha Tena kausha damu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…