Babu yangu namsikia kila mara anapo toa ushauri kwa wana ndoa hutumia hili neno mara kwa mara naogopa kumuuliza manaake kwasabb hayanihusu sana nasitaki kuingilia maongezi ya wa kubwa.
Wajuzi wa jf wenye kutofautisha na kuchambua maana hizo tafadhari.
Hata kama unatoa sifa zao hao wanawake na wanawakaa ni eleweshe plz.