Kuna Wanawake hawana akili, wanaume hatuna huruma

Umenifurahisha kwamba mwanamke anaweza kukaa mwaka hajatumia akili yake. Hili nakubaliana na wewe kabisa.

Ila naomba nikupe angalizo, wanawake hua wanaanza kutumia akili zaidi kuanzia miaka 50 na kuendelea. Yaani menopause hapo wanawake huanza kutumia akili zaidi. Wanawake wana akili nyingi sana ila hua hazitumiki, kinachotumika zaidi ni hisia. Kwa wanawake hisia hu over rule ubongo wao.

Wanawake wangetumia akili zaidi zao utamu tungekua tunapata kwa shida sana, sana.

Bila mwanaume kua na roho mbaya maisha hayaendi.
 
1666290688975.png

Dada zetu,Mama zetu,Shangazi zetu na Bibi zetu:Mungu aliyewaumba aliwanyima utashi (akili) dhidi yetu na alikuwa na lengo lake-kuendelea kubishana na Mwanamke ni sawa na kupigia mbuzi gitaa.
 
Umenifurahisha kwamba mwanamke anaweza kukaa mwaka hajatumia akili yake. Hili nakubaliana na wewe kabisa.

Ila naomba nikupe angalizo, wanawake hua wanaanza kutumia akili zaidi kuanzia miaka 50 na kuendelea. Yaani menopause hapo wanawake huanza kutumia akili zaidi. Wanawake wana akili nyingi sana ila hua hazitumiki, kinachotumika zaidi ni hisia. Kwa wanawake hisia hu over rule ubongo wao.

Wanawake wangetumia akili zaidi zao utamu tungekua tunapata kwa shida sana, sana.

Bila mwanaume kua na roho mbaya maisha hayaendi.
[emoji1666][emoji1666]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom