Dr criminal
JF-Expert Member
- May 16, 2022
- 2,284
- 4,330
Wakuuu
Mwanamke unamnunulia laptop alafu anaenda kuliwa na anayempigiaga window, unamnunulia ndinga anaenda kuliwa na fundi wake wa gereji, unamfungulia duka analiwa na bodaboda wake yaani kichwani Kwa mwanamke kumejaaa mchanga na majivu hamna kitu mule ndani ya skull ni empty kabisa zerooo.
Mwanamke anafanya kitu mpaka unajiuliza hivi huyu tukipasua hiyo skull tutakuta brain kweli humo ndani?, wanafanya maamuzi ya ajabu kweli na wenyewe wanajiona wako sawa kabisaa.
Ila moyo wa mwanamke umejaa upendo,hisia na huruma(typical mwanamke), wanawake wanaendeshwa sana na hisia kama inavyoimbwa Kila kukicha, huruma zao ndo zinazopelekeaga ubongo uende likizo, mwanamke anaweza kukaa mwaka mzima hajatumia ubongo wake hata siku Moja.
Mwanaume akili mingi, mipango mingi, ubongo wa mwanaume unafanya kazi vizuri sana, unawaza na kuwazua, unapambanua mambo Kwa kina.
Ila tuna mioyo migumu sana, kutelekeza mtoto si hatuoni ajabu, mtoto akizungua sana kumuacha ajijue mwenyew hatuoni shida, kuvujisha video za utupu za mwanamke hatuoni kesi, kupiga mtu panga tukimfumania hatuwazi mara mbili.
Ila moyo wa mwanaume (typical mwanaume) ni kama jiwe vile, yani mule ndani ya moyo wa mwanaume ni kama limemwagwa zege, hauisi kitu, moyo mgum kama nini, watu wa maamuzi magum na ya kikatili sana.
Lakini mwanamke( typical mwanamke) ana huruma sana, sanaa yani unalialia tu kidogo, amekukabidhi tunda.
Wanaume tukubali tukatae tukiachana na kubeba mimba miezi tisa, mwanamke anawaza zaidi usalama, afya, amani na future ya mtoto kuliko mwanaume.
Tukimshika mwizi hapa, wanaume tutawaza kumchoma moto ila wanawake utawaskia "Mwacheni jaman harudii tenaa".
Watoto wakike ndo wanawawaza sana wazazi wakizeeka mwisho wa siku, wanaume wengi hatujali sanaaaa.
Majambazi na watu wa aina hiyo wengi ni wanaume, wanawake wapo ila ni wachache sanaa.
Magerezani wafungwa wengi ni wanaume Kwa sababu ndio tuna roho ngum, wanawake ni wachache sana na wengi wao ni wanamatatizo ya akili au alikuwa na hasira wakati anafanya tukio.
Wanajeshi wengi ni wanaume kwasabab wanaume kumwaga damu kwanza ndo tunapenda na tunaona ushujaa ila wanawake wengi hawapendi kumwaga damu.
WANAWAKE UBONGO HAKUNA, WANAUME MOYO HAKUNA.
#OneDayYouWillBeGone
Dr Criminal
Sent using Jamii Forums mobile app