Kuna wanaume wanaishi kwenye ndoa ngumu nyie

Mtihani kwa kweli, asichokijua kaonesha level ya upumbavu wake ulivokua mkubwa na bila kujua kamshusha mume wake hadhi mbele ya dunia
Nimeona video mtandaoni mwanamke mmoja kwenye party ya wanawake wenzake anajigamba kwamba ametoka nyumbani kwake hajaaga ila kampa mumewe taarifa tu kwa vile tu yupo financial stable.

Imagine mke wako anajitapa hivi mtandaoni uko ndani hali ikoje mkeo anatoka kwako bila taarifa how, si anaweza hata kulala nje ya nyumbani bila taarifa kuna ndoa kweli hapo.

 
Oa unae fanana nae,ukiishia sekondary ,na ukawa na kipato Cha laki Tano kwa mwezi,harsfu ukaoa msomi wa chuo kikuu,utakufa kwa kihoro!kwa wasomi sie,mwanamke kuwa na roho ya kujiamini kiasi hicho ndio safi,tunaikubali,sasa kama unataka mkeo awe kama kondoo,Binti zako watajifunza nini?,na wao wawe makondoo wakiolewa?mwanamke independent wa pesa kwenye familia ni muhimu sana,ukiona unashindwa kuishi na mwanamke msomi,basi wewe uanaume wako una mashaka.
Old skool men,Wanapenda kutumia amri tu,hawawezi kujenga hoja,wapo wanawake anaingia kwenye ndoa tayari ana pesa yake ndeefu,huyo lazima ujue akili ipo sana,huwezi kumpeleka peleka kama gari bovu
🥰🥰📌📌📌
 
Financial independence ni muhimu sana kwa mwanamke kwa kuwa pia inapunguza domestic violence. Kwa sisi tuliopitia ukatili tunaona ni namna gani ni muhimu kumuwezesha mtoto wa kike kielimu na kiuchumi ili aweze kusimama hasa pale atakapopitia changamoto za unyanyasaji.
Tukirudi kwenye swala la kuaga: Kama mwanaume utasimama kama mume kqa nyanja zote na sio kukoroma tu bila kusimamia majukum yako kweli utaombwa ruhusa kwa heshima kabisaaa. Ila mwanaume ukipwaya kwenye nafasi yako jua tu utapewa taarifa
📌
 
Wanawake wenye status wana changamoto sana...mwez ulio isha nikikuwa natoka zangu pahar keenye harakat kidogo niko kwenye kapikpik kangu naenda mwendo wa slow gafla kwa mbele kama mita 20 nikaona gar aina ya blevis dam ya mzee imekata kona kutoka barabara ya vumb kuja main ya rami iko kas bas niliv fik maeneo yale jamaa mmoja akanisimamisha akanambia ndug kwenda mjin ni bei gan nkamjibu sifki town kabsa but utanipa pesa yyte.

Bas akapanda mala alivo panda akanambia kaka fukuzia ile gari mbele ile brevis nkapata mshangao kidog nkaenda mwendo flan wa tahadhar uku nasoma mchezo kwa sait mirro na mbel nisije kuchomeshwa mar niliv ifkia gar ile ubavun upand wa mbele naona jamaa ana gusanisha mikon ishara ya kuomba msamaha iv uku anajisemea mama nisamehe.

Mmmh nikaguna kimya kimya ikabdi nimuulize jamaa vip kulikon jamaa akafunguka bro mm nashida sana yan uyu mke wangu anisikilizi kabsa kakosa kidog anatak tuachane na tukigombana tu anakinbilia gar anaondoka anaeza kaa uko ad akijisikia kurud lakin syo kuwa sitaki mwacha ila ninawatoto nae tena wadog ndo wanao niuma ntawaleaje au watalelewaje pia uyu mama ananisumbua kisa status yake asee napata tabu sana sema basi.....

mm ikabd nmwambie jitahd kuzngumza nae vem atakuelewa tu myamalize bas nika mshusha mitaa flan karb na mjini akasema ngoja nimfatilie najua anaenda ofisin kwake........

ushaur wangu wanaume tuwen makin sana namna tunavo walea wake zetu tunapo kuwa nao kwenye mahusiano ndivyo watakavyo itaji tuish nao kwenye ndoa, sasa kama ulikuwa unamlea kimiemko ya mapenz atakutesa san lakin kama ulimuandaa kuwa mama bora uto pata tabu,,,,,,,,

ILA KWANGU MM WAKINIZINGUAGA UWA NAJAZA MAJI KWENYE BESEN KUBWA NAMKABA VZUR NAMDUMBUKIZA KICHWA UMO KWA KUZINGATIA MUDA WAKITOKA APO WAPOLE PLUS MAFUA NA MAKAMAS KAMA KATOKA KUFUKIZWA.... uwa sipend ujinga mm😃😃😃😃
 
Mwanamke hajaumbwa kua financial independent matokeo yake ndo haya tunayo yaona. Mwanamke ameletwa duniani kuzaa, kulea watoto na kufanya household chores, turudi kwenye vitabu vya dini ndo yanatupa muongozo.

Yani kazi zile za beki tatu zilee, ndo principal purpose yenu hapa duniani hakuna kingine. Na sisemi hivi kuwa despise, there is nothing like a mother's love,(I could stay for hours watching and admiring a mother's love akiwa na mwanae including wanyama wanavyo wa groom vitoto vyao), a woman that caters for her husband, apo Mungu ndo unaona ufundi wake alipokua anamuumba mwanamke. Kwa sector hio mwanamke ni guru hakoseagi yani, its like clockwork. Nimemaliza!
Duh, brother naona hujiamini, sio kila mwanamke mwenye good income ni kicheche au haheshimu mme wake, mambo ya ndoa nzuri sometimes ni bahati tuu
 
Uzuri ni kwamba sio wanawake wooote wanachagua kuenda the same path ya kua financial independent despite kua na elimu. Some women, preference yao ni kua submissive kwa waume zao na wana thamini sana values za traditional women.

Kwa maneno mengine, wanaume bado tuna options nyingi sana, ndomana ukifuatilia western countries kuna wanaume wamekua referred to as 'passport bros' uki wa exclude wale wanao conduct sex tourism, ninaowaongelea mimi hawa wengine ambao uwa usafiri overseas mazima na kutokurudi, nia yao kubwa ni kutafuta na kuoa traditional women (mostly Asians and Africans) na kuwakimbia modern women.
Sure, we all still have alot of choices. Chagua kikufaacho, ila usione alichokichagua mwenzio kuwa ni kibaya kwasababu tu hakikufai wewe. Ndio maana hata katika maelezo yako haujasema kuwa wanaume wote wanasafiri kwenda Afrika na Asia kutafuta wanawake.

All in all the world is changing, its just a matter of time hata nyie akili zitabadilika.
 
Back
Top Bottom