Kuna wakati Yanga na Simba Zitakuwa Kama Twaha na Dulla

wadzelino

JF-Expert Member
Sep 16, 2019
205
316
Ni jambo la kusubiri tu,anaejua anajua tu, hata watoe mafungu kuihujumu Simba, Itafika Wakati watakubali kuwa hawajui, na hawatatakana tena kama ilivyotokea kwa wazee wa Vitasa, Twaha Kiduku na Dulla Mbabe. Povu ruksa.
 
Mnaanza kubweka Kama mbwa, iyo si ndiyo ilikuwa michezo yenu, wakati mnafanya mbona mlikuwa kimya kipindi kile kina makonda wanatoa milioni 20?

Leo hii kumbe mnaona ni jambo baya, mmerukwa na akili au mnaweweseka, na nyie si muendelee kutoa Kama mlivyokuwaga mnatoa au bosi amesusa bando limekata!
 
Mnaanza kubweka Kama mbwa, iyo si ndiyo ilikuwa michezo yenu, wakati mnafanya mbona mlikuwa kimya kipindi kile kina makonda wanatoa milioni 20? Leo hii kumbe mnaona ni jambo baya,,mmerukwa na akili au mnaweweseka, na nyie si muendelee kutoa Kama mlivyokuwaga mnatoa au bosi amesusa bando limekata!
Acha kuchekesha wewe Simba ni timu bora Tanzania kwa sasa. Yaani tumkalishe bingwa wa Afrika kwa Mkapa, tushindwe kuwakalisha utopolo na wenzake.

Mwaka huu mmejipanga kwelikweli majungu, fitina, Rushwa na ushirikina. Pamoja na hayo kombe kulichukua labda mliibe.
 
Sasa Kama ni timu bora unalia lia nini si uonyeshe ubora wako, yaani mmebaki kupata ushindi ni mpaka timu pinzani ipungue kwa kadi nyekundu? Alafu mnajigamba eti timu bora
 
Sasa Kama ni timu bora unalia lia nini si uonyeshe ubora wako, yaani mmebaki kupata ushindi ni mpaka timu pinzani ipungue kwa kadi nyekundu? Alafu mnajigamba eti timu bora
Walioweka sheria ya kadi nyekundu sio vilaza kama wewe. Utaonyesha ubora gani wakati mitakataka ya timu pinzani inacheza mieleka na kuumiza wachezaji?

Kwani sisi ndio tulimwambia apige kiwiko?. Tunacholalamika sisi sio kukamiwa, ni timu kushindwa kucheza mpira na kuanza kuumiza wachezaji na mieleka yao.

Halafu bora timu inayoshinda kwa timu nyingine kuwa pungufu kutoka a na sheria, sio ile inayoshinda kwa magoli ya Chupli Chupli kama mliloifunga Kagera sukari.
 
Ni jambo la kusubiri tu,anaejua anajua tu, hata watoe mafungu kuihujumu Simba, Itafika Wakati watakubali kuwa hawajui, na hawatatakana tena kama ilivyotokea kwa wazee wa Vitasa,Twaha Kiduku na Dulla Mbabe. Povu ruksa.
Mnataka kutuaminisha hata ubingwa wenu mara nne mfululizo ulikuwa wa hujuma dhidi ya Yanga maana kuna watu pia walikuwa wanatoa mafungu kwa timu zinazocheza na Yanga ili zikaze hadharani,umesahau Makonda na milioni 10 zake kwa KMC.

Simba ya msimu sio Simba ile jana na juzi hilo mashabiki hamtaki kukubaliana nalo mtateseka sana kwa style ya ushabiki mliokuja nao msimu huu.
 
Kitu kimoja wanachojidanganya Yanga ni kuwa Simba akiwa vibaya basi wao wapo vizuri.

Sisi mashabiki wa simba tuna standard yetu, tusipofikia hiyo tunajiona tupo vibaya.

Lakini hii tunayoiita sisi vibaya imezidi vizuri yenu ( yanga) zaidi ya mara nane.
 
Ni jambo la kusubiri tu,anaejua anajua tu, hata watoe mafungu kuihujumu Simba, Itafika Wakati watakubali kuwa hawajui, na hawatatakana tena kama ilivyotokea kwa wazee wa Vitasa,Twaha Kiduku na Dulla Mbabe. Povu ruksa.
Simba ni level ya Mwakinyo acha umama
 
Acha kuchekesha wewe Simba ni timu bora Tanzania kwa sasa. Yaani tumkalishe bingwa wa Afrika kwa Mkapa, tushindwe kuwakalisha utopolo na wenzake.

Mwaka huu mmejipanga kwelikweli majungu, fitina, Rushwa na ushirikina. Pamoja na hayo kombe kulichukua labda mliibe.
Tupe rekodi za simba na Yanga pale kwa Mkapa kwa miaka hii ya hivi karibuni
 
Walioweka sheria ya kadi nyekundu sio vilaza kama wewe. Utaonyesha ubora gani wakati mitakataka ya timu pinzani inacheza mieleka na kuumiza wachezaji?..
Basi kwa ubora wenu endeleeni kushinda mechi na sio kulalamika nyie makolo
 
Kitu kimoja wanachojidanganya Yanga ni kuwa Simba akiwa vibaya basi wao wapo vizuri.
Sisi mashabiki wa simba tuna standard yetu, tusipofikia hiyo tunajiona tupo vibaya.
Lakini hii tunayoiita sisi vibaya imezidi vizuri yenu ( yanga) zaidi ya mara nane.
Basi hakuna haja ya kulalamika tena kutokana na ubora wenu, acheni timu ndogo zipewe zawadi endapo zikitoa sare na kuifunga timu bora simba
 
Simple as that, Nyie mko bora na timu itakayotoa sare au kuifunga simba itapewa zawadi
 
Basi hakuna haja ya kulalamika tena kutokana na ubora wenu, acheni timu ndogo zipewe zawadi endapo zikitoa sare na kuifunga timu bora simba
Huwezzi ukaniskia nalalamika team....imeahidiwa zawadi.
Ila wachezaji wakumbushwe fair play.....

Usidhamirie kumuumiza mtu.
 
Huwezzi ukaniskia nalalamika team....imeahidiwa zawadi.
Ila wachezaji wakumbushwe fair play.....

Usidhamirie kumuumiza mtu.
Ndio uwaambie hao makolo wenzako pamoja na yule cresentius Magori analalamika kupitia vyombo vya habari kwamba kwann timu zinaahidiwa pesa kwa ajili ya kumfunga simba tu?

Ni kwasababu nyie ni timu bora na atakae wafunga timu bora basi atapewa zawadi, simple as that

Mmejaza nyuzi kibao humu jukwaani kulalamika kisa zawadi na motisha kwa kuwafunga simba, kwani hili ndo mara ya kwanza kutokea? Na kwanini akifanya wengine ionekane ni zambi
 
Hata tukiwafunga muwape zawadi ili wasiumize wachezaji wetu.
Lengo ni kuwatoa mchezoni kwa namna yeyote ile, Nyie si timu kubwa na bora basi timu ndogo watapewa zawadi na motisha kwa kumfunga simba

Kipindi hiki cha kina Ally hapi ndo mmejitokeza ila kipindi cha Makonda anatoa ahadi zile ilikuwa sawa tu
 
KMC waliwapiga viwiko na kuwaumiza wachezaji wa Yanga?
 
Kwa hiyo ubingwa wenu ni kumfunga Mnyama, kama ndivyo timu inaendeshwa kwa hasara
 
Back
Top Bottom