JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,760
- 10,488
Katika hili swaka ka mchanga kuna watu wameibuka na mitizamo tofautitofauti.
Ni sawa kwa kuwa kila mwanadamu anaupeo tofauti katika kufikilia.
Ila kwa hili la mchanga nazani sio Watazania tu wanoa takiwa kupiga kelele ni Waafrika wote.
Wizi uko wazi kabisa na hakuna mtu anaweza bishana na hilo.
Kinachotzkiwa ni kuwaambia hao wazungu inatosha sasa kutuibia hata kama mikata yetu ilikuwa mibovu. Tuwaambie imetosha nendeni.
Tatizo la wasomi wa sasa ni kanyaboya kabisa.
Ukombozi wa hii nchi na Afrika kwa ujumla hauko mikononi mwa Magufuli peke yake.
Hata kama tutalipa mamilioni ya faini, Kwa hili MAgufuli niko upande wako hadi tone la mwisho.
Acha wazungu nao watunyenyekee kwa kutumia rasilimali zetu sio kila siku tunawalilia wao tu.
Wasomi wetu chonde chonde achene usaliti na ubwanyenye, Siku tukiikomboa sijui mtaficha wapi nyuso zenu.
Ninauhakika tutalikomboa hata kama ni kwa kumwaga damu ama kulipa faini.
Wizi ukomeshwe kabisa. Mikataba ya ajabu lakini pia wanatuibia humohumo kwenye hiyo mikataba walioisaini wenyewe.
It is over.
Mungu safari hii yuko upande wa Afrika. Tuungane tujikomboe na ukoloni mambo leo,