Ndio mkomage kuuliza uliza,
Kuna wa2 wanakera kiukweli,.
akili zao zinaona kama mtu muda wote unamuwaza yeye tu khaa!!!!
Tena hilo swali likinipata wakati nipo moodless lazima utafute pakutokea. arghaaaaaaaaaaa!!!!!!!!
SIM yangu, vocha yangu, muda wangu bado unitolee macho kunilazimisha kujibu sms zako, p u mb a fuuuuu