Kuna vyombo vya habari vimeacha kumuita muheshimiwa mmoja 'Dr.'

Keynez

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
2,408
3,891
Nimewahi kusema siku za nyuma huko, mambo ya kuitana sijui Profesa au Dr. inabidi yabaki kwenye academic careers, ukiwa kwenye siasa ni 'Bwana' na 'Bi' tu. Hata kuitana waheshimiwa imetuletea matatizo makubwa. Si tumeamua turudi miaka ya 60? Kuna nchi huko tulipocopy siasa zao hawana hayo mambo. Umewahi kumsikia Professor Barack Obama?

Nimegundua at least chombo kimoja kikubwa cha habari kimeamua kufanya maamuzi magumu, sasa hivi kuna muheshimiwa anaitwa tu kwa title yake ya kisiasa. Navipongeza kwa hilo, natumaini rungu la dola halitakuja kuwaangukia kwa uchochezi.

Pia wanamuita kwa majina mawili tu, haya mambo ya kuitana majina matatu, manne, kuna siku nilisikia mtu anaitwa kwa majina matano, hivi yameanza lini? Mbona tunacomplicate mambo? Unajua serial killers na political assassins wengi wanajulikana kwa majina matatu?
 
Hivyo ndivyo inavyotakiwa. Watu wengi ni LIMBUKENI pale linapokuja suala la Ngazi ya Kitaaluma kuandamana na jina la Mhusika. Nilisha wahi kusikia Mtu akiiitwa Dokta Anko XYZ...akiwa katika mazingira ya nyumbani...Ajabu!
 
Nimewahi kusema siku za nyuma huko, mambo ya kuitana sijui Profesa au Dr. inabidi yabaki kwenye academic careers, ukiwa kwenye siasa ni 'Bwana' na 'Bi' tu. Hata kuitana waheshimiwa imetuletea matatizo makubwa. Si tumeamua turudi miaka ya 60? Kuna nchi huko tulipocopy siasa zao hawana hayo mambo. Umewahi kumsikia Professor Barack Obama?

Nimegundua at least chombo kimoja kikubwa cha habari kimeamua kufanya maamuzi magumu, sasa hivi kuna muheshimiwa anaitwa tu kwa title yake ya kisiasa. Navipongeza kwa hilo, natumaini rungu la dola halitakuja kuwaangukia kwa uchochezi.

Pia wanamuita kwa majina mawili tu, haya mambo ya kuitana majina matatu, manne, kuna siku nilisikia mtu anaitwa kwa majina matano, hivi yameanza lini? Mbona tunacomplicate mambo? Unajua serial killers na political assassins wengi wanajulikana kwa majina matatu?
akitoka madarakani tunamvua hiyo PhD take feki
 
Back
Top Bottom