BIG THINKER
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 702
- 1,533
Uzalendo less people πππUnatafuta hela wewe mwenyewe kwa ajili ya maendeleo yako, halafu wewe mwenyewe unapita nyuma nyuma unajiibia [emoji38][emoji38] unarud tena kukusanya, ukiona zimekuwa nyingi unarud kinyume nyume kama kawaida tena unajiibia [emoji38]. Hii kitaalamu tuiiteje?
Serikali ya Tanzania inakusanya kodi halafu inaziiba, mifano ni mingi tu.
Kuna muda mimi huwa nacheka nikiyawaza haya mambo.
Kitaalam inaitwa ndoigeUnatafuta hela wewe mwenyewe kwa ajili ya maendeleo yako, halafu wewe mwenyewe unapita nyuma nyuma unajiibia [emoji38][emoji38] unarud tena kukusanya, ukiona zimekuwa nyingi unarud kinyume nyume kama kawaida tena unajiibia [emoji38]. Hii kitaalamu tuiiteje?
Serikali ya Tanzania inakusanya kodi halafu inaziiba, mifano ni mingi tu.
Kuna muda mimi huwa nacheka nikiyawaza haya mambo.
Najaribu kuwaza tuMkuu una speed sana
Hii kama ni kwenye mpira inaitwa kampa kampa tena !Kitaalam inaitwa ndoige
Serikali ina watu wengi, wenye tabia tofauti. Wakusanya kodi, hufanya kwa juhudi kukusanya ili kulinda kibarua na wengine hapo hapo kujipatia cha juu.Unatafuta hela wewe mwenyewe kwa ajili ya maendeleo yako, halafu wewe mwenyewe unapita nyuma nyuma unajiibia [emoji38][emoji38] unarud tena kukusanya, ukiona zimekuwa nyingi unarud kinyume nyume kama kawaida tena unajiibia [emoji38]. Hii kitaalamu tuiiteje?
Serikali ya Tanzania inakusanya kodi halafu inaziiba, mifano ni mingi tu.
Kuna muda mimi huwa nacheka nikiyawaza haya mambo.
Chama cha maaaa.....CCM ni nini?
tena inaitwa both teams to score in first half. ππ€π€Hiyo inaitwa both teams to score yaani G;G!
Zamani nilikuwa nadhani ni chuma ulete ila nimegundua ni utovu wa nidhamu ya pesa, na kuipata discipline hiyo inatakiqwa yakufike mengi mpaka mwenyewe use me INAFUUnatafuta hela wewe mwenyewe kwa ajili ya maendeleo yako, halafu wewe mwenyewe unapita nyuma nyuma unajiibia [emoji38][emoji38] unarud tena kukusanya, ukiona zimekuwa nyingi unarud kinyume nyume kama kawaida tena unajiibia [emoji38]. Hii kitaalamu tuiiteje?
Serikali ya Tanzania inakusanya kodi halafu inaziiba, mifano ni mingi tu.
Kuna muda mimi huwa nacheka nikiyawaza haya mambo.