Luv
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 2,740
- 6,116
Tuma kwangu mkuuMapenzi ni usheitwani.
Ukimuona sheitwani mmoja anakusumbua hakuchangamkii tafuta shaitwani mwingine ambaye ataendana na wewe na atakusumbua. Kuna sheitwani mmoja hapa nimemwambia apite kazini kazingua, yuko kwenye gari ya kazini kwao ndo ananipigia simu uko wapi natoka nje ashapita kitambo. Anakwenda kulipwa elfu 5 huku Mimi nilitaka nimpe 30 chap then aondoke bila hata kumgonga. Ishakula kwake.
Simtaki tena
"Tenda wema nenda zako"