Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,539
- 10,007
- Thread starter
- #21
Tofautisha kuwepo Kwa idea na kucopy kitu, blockchain ilikuwa ni idea tu means kulikuwa hamna product. Kuna vitu vitatu wewe na watanzania wengi hamvielewiMkuu naona unaongelea creativity lkn kwa kusoma bandiko lako naona hata haujui creativity ni nini.
Creativity ni pale mtu anapotumia resources zilizopo(au zilizotengenezwa) na kuzifanyia some intelligent tweaks ili zifanye kazi nyingine. Resouces zinaweza kuwa kama hizo modular hardware mnazoongelea like arduinos / raspberry pi's etc....
Mfano dogo leo akitengeneza gari kwa arduino from scratch bila kufanya copying amd pasting hio inakua ni creativity yake hata kama kuna watu wameshatengeneza vitu kama hivo before au anasoma tutorial thn anaongeza na utundu wake hio nayo inakua ni creativity.
Mbona nakamoto ametumia blockchain ambayo idea yake ilikuwepo tangu 70's lkn dunia inaatambua bitcoin kama creativity yake/yao nakamoto. Ni kwa sababu tu ametumia available resources.
Sema naona pia unashindwa kutofautisha kati ya marketable creativity na normal creativity ndo maana unakalia kuponda helicopter za mabati na magari ya mbao
Kuna technology adoption ambayo uancopy idea iliyofanyika sehemu nyingine sema wewe unaitwist/unaifanyia mabadiliko kidogo na ndo hiki kinachofanyika Tanzania na Africa.
Alafu kuna creativity na innovations unachukua idea na kuja na product, na unahakikisha hy idea haijatengenezewa product bado.
Alafu kuna discovery unagundua kitu ambacho ni unknown kama NASA kugundua sayari mpya.