Kikubwa ufahamu vituo vote vinavyofanya biashara ya kusafirisha mizigo kwa eneo hilo, naamini mkifika sehemu ambapo mzigo upo mkiwaelezea ni mzigo upi na ulifungwa vipi, wanaweza wakawaelewa na pia kuwapa scenario halisi mliyonayo ni rahisi kuwaelewa.
Kikubwa uwe na muda wa kutosha.
Pole Mungu akupe faraja Mkuu