I feel good
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 1,781
- 3,250
AsanteSoma comment no. 32
Utapata jawabu la swali lako
Pole mkuu, una maana hata jina la Marehemu hulijui!?Kuna mtu alituma mzigo mkoa X wenye thamani ya 3.5 kwenye basi na yeye alikuwa mkoa X bahati mbaya akafariki na hakuna mtu anaejua gari gani alisafirishia huo mzigo vipi kuna uwezekano wa kuupata huo mzigo tena
Namaanisha tukaenda ofisini kuutafuta tukaulizia magari yanayoenda mkoa huo na tukapata huo mzigo au ndio unakuwa umeenda huo mzigo
(Ninachojua) tarehe aliyosafirisha na mahali ulipoenda huo mzigo ila sijui ni gari gani aliupakia
Dahh kipengele ila kupatikan unapatikana vizuri tu mizigo yote si inabaki ofisiniMzigo alituma jioni… maanake aliutanguliza nia ilikuwa akifika huo mkoa anaoenda akaifuate stend… so kesho yake wakati yuko safari ndio akapata ajali na kufariki…
Risiti atakuwa nayo yeye lakini sasa tutaipatia wapi ndugu na mtu ameenda
Pole mkuu, una maana hata jina la Marehemu hulijui!?
Ili kuepusha kuulizwa swali moja mara kwa mara, ni vizuri uka edit na kusave maelezo ya mwanzo kwenye huu uzi wako, uweke hicho kipande kinachoeleza kuwa aliusafirisha kisha naye akasafiri ili akaupokee huko mbele ya safari... Hapo siolution ni lazima cheti cha kifo muharakishe kukipata.Mzigo alikuwa anaupokea mwenyewe yaaani aliutanguliza afu keshoo yake akasafiri kuelekea huo mkoa nia akachukulie stand
Dahh kipengele ila kupatikan unapatikana vizuri tu mizigo yote si inabaki ofisini
Ili kuepusha kuulizwa swali moja mara kwa mara, ni vizuri uka edit na kusave maelezo ya mwanzo kwenye huu uzi wako, uweke hicho kipande kinachoeleza kuwa aliusafirisha kisha naye akasafiri ili akaupokee huko mbele ya safari... Hapo siolution ni lazima cheti cha kifo muharakishe kukipata.
Kuna haja ya kushirikisha watu wa karibu.
Binafsi karibia vyoote mwenzangu anajua, nikifa ghafla hata hili buku la airtel money anaweza nunulia bando. [emoji23]
Ni rahisi sana kwenda ulikokua unapokelewa.Kuna mtu alituma mzigo mkoa X wenye thamani ya 3.5 kwenye basi na yeye alikuwa mkoa X bahati mbaya akafariki na hakuna mtu anaejua gari gani alisafirishia huo mzigo vipi kuna uwezekano wa kuupata huo mzigo tena
Namaanisha tukaenda ofisini kuutafuta tukaulizia magari yanayoenda mkoa huo na tukapata huo mzigo au ndio unakuwa umeenda huo mzigo
Ninachojua tarehe aliyosafirisha na mahali ulipoenda huo mzigo ila sijui ni gari gani aliupakia
Aliusafirisha kisha naye akasafiri ili akaupokee huko mbele ya safari...
Ni rahisi sana kwenda ulikokua unapokelewa.
Yote uliyoeleza hapo. Mkoani magari ni machache, so nirahisi hata wenye mabasi kupelelezana.Na vielelezo gani?!
Yote uliyoeleza hapo. Mkoani magari ni machache, so nirahisi hata wenye mabasi kupelelezana.
We carry life & death...Kuna mdau mmoja humu alikabidhiwa nyumba ailinde Goba.. ikapita miaka 10 kwenye nyumba hajaja kuitembelea...Kuna haja ya kushirikisha watu wa karibu.
Binafsi karibia vyoote mwenzangu anajua, nikifa ghafla hata hili buku la airtel money anaweza nunulia bando. 😂
kwenye kampuni Nyingi za usafirishaji wa mizigo mpokeaji akiwa hana listi ya mzigo au picha ya mzigo aliyetumiwa na Namba za simu za mtumaji wa mzigo huwa ni wagumu sana kutoa mizigo mara nyingi wanaogopa kudaiwa mizigo mara mbili mbili
Pia kama hamna vyote ivyo atleast muwe na ABC za mzigo ulikua una nin na nin na msichelewe sana wafanyakazi wa kampuni nyingi za usafirishaji wa mizigo mzigo ukikaa mda mrefu sana store wengi wao uwa wanapitanao
Pole sana post zako za mapema juu ya ajali niliziona katika uzi wa JF usiku wa manane,, asante kusikia unaendelea vyema ni kupigana mpaka mwisho.Leo jioni nimefikisha 1month tangu nilipo pata ajari ya kugongwa na gari nikiwa Kama abiria kwenye pikipiki na kuvunjika mguu..
Nimekua kitandani for a whole month siwezi ku move ninalala kwa staili moja.
Ninasaidiwa na wife vitu vyotee na yeye Ni mjamzito
Mguu ulio vunjika unakuaga mzito mnoo nimejikuta kwenye tafakuri nyingi na kuu za kimaisha
At least naendea vyema Ila sometimes nawaza mengi Sana na moyo umeingiwa na hofu..
Kifo hakichagui, ajari haibagui , sijui kwa Nini ajar ilinichagua Mimi
NB.
Hakuna binadamu special
jaribuni lakini wengi ni wajanja wajanja sana labda kampuni iyo wawe waaminifu sana na kama haukulipiwa watatengeneza sababu nyingi iyonekane uzembe ni wakwako wew mwenye mzigo.kumbe wao ndio wamepitanao lakini jaribu mzigo wa milioni tatu ni mkubwa sanaMiezi 2 vipi watakuwa wamepita nao
Pole san mzeeLeo jioni nimefikisha 1month tangu nilipo pata ajari ya kugongwa na gari nikiwa Kama abiria kwenye pikipiki na kuvunjika mguu..
Nimekua kitandani for a whole month siwezi ku move ninalala kwa staili moja.
Ninasaidiwa na wife vitu vyotee na yeye Ni mjamzito
Mguu ulio vunjika unakuaga mzito mnoo nimejikuta kwenye tafakuri nyingi na kuu za kimaisha
At least naendea vyema Ila sometimes nawaza mengi Sana na moyo umeingiwa na hofu..
Kifo hakichagui, ajari haibagui , sijui kwa Nini ajar ilinichagua Mimi
NB.
Hakuna binadamu special
Asante Sana mkuuPole san mzee