Kuna uwezekano wa kupata mimba ?

buzbuz

Member
Feb 26, 2016
18
12
Habari wapendwa madaktari...naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kupata ujauzito baada ya kufanyiwa Hsg?
Asanteni
 
Inawezekana.

Ngoja nikuwekee link hapo chini.

Pitia na maoni ya wadau waliyomjibu muhusika ambae alikuwa ana mashaka kama wewe
 
Back
Top Bottom