kuna uwezekano wa kuondoa kovu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kuna uwezekano wa kuondoa kovu?

Discussion in 'JF Doctor' started by HAZOLE, Jun 12, 2011.

 1. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  habari wana JF.
  mimi nimshiriki mzuri wa mchezo wa soka, mwaka jana nilipata mchubuko baada ya kuanguka nikiwa nacheza mpira na kidonda kilishapona kabisa ila kovu bado lipo na linaonekana jeusi. mimi ni maji ya kunde ila kovu ni jeusi na si kubwa. je kuna dawa waweza paka likatoka au likawa si jeusi??
  maoni yenu tafadhari.
   
 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
 3. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
Loading...