Kuna uwezekano wa ku hack Whatsapp?

Kuna uwezekano wa ku hack Whatsapp?

ki2 chepesi kisichoitaji process ndefu ni kuchukua pc na sim ya hyo mtu wako ingia whatsapp ya kwenye cm nenda kwenye options then select whatsapp web ingia kwenye www.whatsapp.com kwa ku2mia pc thn scan ile barcode then chats zote zitakuwa kwenye pc kila msg itakuwa itakuwa inakuja kwenye pc yako anavyochat
Unascan vipi kwa kutumia PC na iyo bar code ipo sehem gan ukiingia kwny iyo web ya watsap
 
ki2 chepesi kisichoitaji process ndefu ni kuchukua pc na sim ya hyo mtu wako ingia whatsapp ya kwenye cm nenda kwenye options then select whatsapp web ingia kwenye www.whatsapp.com kwa ku2mia pc thn scan ile barcode then chats zote zitakuwa kwenye pc kila msg itakuwa itakuwa inakuja kwenye pc yako anavyochat

Ya pic mkuu ni proses ndefu mnooo na utawachanganya wasikuelewe humu
Chukua sim ta mwenzio tu hapo sim yako ushafungua google crom unaenda setting na ku click browser on desktop kisha unaiscan hio sim ya dem wako mchezo kwisha
 
kaka tatzo muda waelekeze kwa faida ya wote
 
kwa kukusaidia pamoja na kuwasaidia wana JF wasiokuwa na ufahamu wa kutosha kuhusu hacking

Hacker kama ilivyozoeleka na wengi kuwa ni mtu mbaya mwenye kudakua system za watu bila ridhaa zao ukweli sio hivyo hapo mwanzo kabisa kwenye miaka ya 80 mpaka 90 mwanzoni neno hacker lilikuwa linatumika kwa mtu anaejua zaidi computer(programming, networking, os n.k) kuliko kuitumia tu ktk matumizi ya kawaida.

Kipindi hicho computer zilikuwa chache kulinganisha na sasa mfano ktk taasis kama vyuo uchache wake ulipelekea kuwepo na uzuiaji wa watu kuzitumia isivyo kusudiwa(kuzidisha muda, matumizi yasiyo kusudiwa na kadhalika) hii ilipelekea watu kutafuta mbinu mbalimbali za kukwepa uzuiaji huu sasa wale watu wanao ifahamu computer zaidi(hackers) wakawa wanaweza ku kwepa baadhi ya vizuizi

Baada ya watu hawa habari zao kukuwa zikapata nafasi ya kutangazwa ktk vyombo vya habari na watangazaji badala ya kutumia neno lililokuwa linatumika kwa watu kama hawa ambalo ni cracker wao wakatumia hackers. Kwahiyo hackers zamani ilikuwa ni kwa watu wema wenye kujua computer ndani nje. na cracker walikuwa watu wenye kujua computer na ku ziingilia pasipo na ruhusa. soma zaidi hapa https://pdfs.semanticscholar.org/1cee/bde63f733d61edd3e8779fd818accc966c2d.pdf

NJIA MAARUFU ZINAZO TUMIKA
  • Phishing hii ni njia ambayo hacker ana copy site (FB, JF, n.k) kama zilivyo na kuzitumia kuwadanganya watu(victim) watu wanapo bonyeza link hizo zinawapeleka ktk site ambazo ni copy(zinafanana hivyo hivyo na walizo zizoea) pindi wanapojaza taarifa zao (email na password) na ku login taarifa zao zinaenda kwa hacker. Jinsi ya kugundua unapo pewa link ikakupeleka ktk site ambazo inatakiwa ujaze taarifa zako ndio u login angalia juu kabisa pale pakuweka address panapo anza na https://www. kama hapaendani na link uliopewa usijaze taarifa zako.
  • Denial of Service(DoS/DDoS) Njia hii imegawanyika mara mbili kuna denial of service na distributed denial of service. Denial of service ni pale hacker anapofanya website yako isifikike kirahisi na watumiaji kwa kutumia computer moja, wakati distributed denial of service ni pale hacker wanapofanya website yako isifikike kirahisi kwa kutumia computer/vifaa vingi. Hii inawezekana kwa computer nyingi sana kutaka huduma ktk website yako kwa wakati moja hivyo server inashindwa kuhudumia kiasi idadi kubwa yaa watumiaji kwa wakati mmoja. mfano wakati matokeo ya kidato cha nne yanapotangazwa kutokana na watu kuwa wengi kutaka kupata huduma mara nyingi huduma haipatikani mpaka wengine inachukua hadi siku2. Sasa hacker wanaweza ku affect computer za watu wengi na kuzitumia hizo kufanya mashambulizi ya DDoS.
  • Virus, Trojan, worms malware spyware n.k hii ndio njia karibuni kila mtu anaijua inahusisha software ambazo zinafanya uharibifu au ku tukusanya taarifa ktk computer yako na kuzituma kwa hacker. jinsi ya kujikinga tafuta antivirus nzuri na usi install program hovyo.
  • Eavesdropping tofauti na njia nyingine njia hii ni passive attack yaani hacker haharibu computer au mifumo ya computer bali anaangalia ili kupata taarifa ambazo ww hukutaka azipate mfano hapa jf tunatakiwa kupata taarifa ktk majukwaa tulio wekewa ila watu wengine wanataka kupata taarifa server zipo wapi nan amesaijili imesajiliwa wapi simu no. n.k lengo kubwa ni kupata taarifa bila kujulikana.
  • Bait and switch njia hii pale ambapo una install software ambayo unaamini kabisa kuwa ni salama mfano VLC kumbe ndani ya sofware hiyo kuna virusi ambavyo vinampa hacker kuimiiliki computer yako. hii ipo sana kwani program hizo baada ya ku install zinafanya kazi kama kawaida bila shida lakini ndani yake kuna mdudu.
  • Cookie theft cookies ktk brower zinasaidia kutunza taarifa zetu wakati unapo ingia ktk website taarifa kama password, browsing history, username n.k Ili kurahisisha baadhi ya mambo ila sasa hacker wanaweza iba cookies na kupata uwezo wa kujifanya ndio ww.
  • ClickJacking Attacks kwa maelezo mafupi ni pale hacker anapo kudanganya ww una click sehemu imeandikwa hivi unapelekwa sehemu nyingine.
  • Keylogger hii ni software ambayo inarekodi kila unacho andika na kukiweka ktk file moja kisha baadae kukituma kwa hacker zipo za aina nyingi kuanzia fake usb cable kwa ajili ya kucharge na kuhamisha vitu mpaka wire za vga. ww unajiona mjanja unacharge tu simu yako kwenye pc kumbe baadhi ya waya zina keylogger
Zipo njia nyingi sana hata kukizizungumzia hatutamaliza kwa leo cha kufanya ni ww kujua njia iliotumika na jinsi ya kujikinga nayo kwa sasa hacking imerahisishwa sana haina haja ya ww kujua kutengeneza virus wala keyloger cha msingi ni ww kujua inafanyaje kazi na kuitumia basi zipo Operating system nyingi ambazo zinakuja na rundo la software kwa ajili ya hacking mfano Kali Linux ni ww tu kutafuta maujuzi.

pia zipo website mbali mbali ambazo zinafundisha buree kabisa bila malipo jinsi ya ku hack yaani ethical hacking(kuhack kwa kupewa ruhusa kwa lengo la kuangalia ulizi ktk mifumo ya computer) sio vinginevyo. website hizo ni kama cybrary, nullybyte hack day, evilzone, break the security hack in the box n.k Napendekeza cybrary ndio nzuri ya kuanza nayo.

Mwisho kabisa napenda kukutaka kupita upya sheria ya makosa ya mtandao ya mwaka 2015 kwani haupendezi hata kidogo na ile suti ya orange
 
Mkuu bora umetoa ufafanuzi lwamaana watu wanajiwahi tu kuibonyeza LINK
Hawajui huko mbele kuna madhara gani Anajikuta akiandika Email au akaunt yake na password yake hajuelewi ka anajipiga kitanzi
Na sisi wabongo tunatatizo moja kwa mfano ikifunguka PAGE yenye MAELEZO MAREFU tunakuwa wavivu mno wakusoma
Unawahi tu ku SCROLL DOWN utapokuta sehem inter your PASWORD fasta unaweka
Huku maelezo yale ya juu hukuyasoma ukayaelewa
Hio ndio inatu COST SAAANA SISI
 
Back
Top Bottom