Kuna utaratibu gani mtu akitaka ku-resit mitihani ya kidato cha sita

kachy

Senior Member
Jul 11, 2021
138
69
Huwa kuna utaratibu gani mtu akitaka Ku resit mitihani ya form 6 aliyemaliza mwaka huu mwezi wa 5 na hakufanikiwa kwenda bachelor ataenda Ku resit shule au kwenye vituo na anahitaji Ku resit Masomo yote CBG utaratibu upoje
 
Kwa Mwaka 2022 Unabidi kwanza utembelee website ya necta Usajili wa private candidate ila nachohisi muda utakuwa umeshaisha wa kufanya usajili.

Gharama za mitihani ni 50k

pia unalipia kituo Ni 40

so ukiwa na 100k kila kitu unamaliza.

kuresit ni rahisi sana .
 
Huwa kuna utaratibu gani mtu akitaka Ku resit mitihani ya form 6 aliyemaliza mwaka huu mwezi wa 5 na hakufanikiwa kwenda bachelor ataenda Ku resit shule au kwenye vituo na anahitaji Ku resit Masomo yote CBG utaratibu upoje
upo mkoa gani mkuu
 
M nakushauri kijana mwenzangu ni bora ukachukue vyeti vyako vya f4 ukaenda diploma tuu.Sikuombei mabaya ila ni Ushauri tuu.
Nowdayz CBG haina soko kabisaa yni kma una target za kusomea masomo ya Afya we nenda ukaanze diploma tuu

Ni ushauri tuu sikuombei mabaya
 
Back
Top Bottom