Faith healing is a spiritual matter and can therefore only be appreciated by spiritual beings,people who have true faith in Jesus Christ or born again Christians.If you are not a born again Christian, this is above your mental faculties, you cannot appreciate it or understand it.Canal minds cannot understand the things of God,because to them it is foolishnesses.Habari wakuu,
Kati ya vitu ambavyo nimekuwa nikipenda kujua ni hii kitu inaitwa faith healing au uponyaji kwa njia ya maombi kama haya maombi yanayofanywa na akina mzee wa upako, je ni kitu halisi na inafanya kazi? , mara nyingi nimehudhuria makusanyiko ya injili au crusade wakidai wagonjwa na wenye shida wataombewa ila mwisho wa siku sioni aliyepona je kama haifanyi kazi kwanini wahubiri bado wananadi faith healing?, mbaya zaidi kuna hadi wanaodai kiwango fulani cha pesa ili wakuombee tatizo lako kama vile unavoenda muona daktari naomba kujua hii kitu inafanya kazi au ni utapeli wa walokole.
Una ndugu au wewe mwenyewe ushawahi fanyiwa faith healing? ilikuwa ni tatizo gani na ulijuaje ni maombi yamefanya kazi.
ahsanteni..
wakati unafanyiwa maombi uliendelea na matabibabu ya kawaida kama ndio ulijuaje ni maombi yamesaidia?Jesus is real Mimi niliumwa nakufanyiwa operation ndo nikaongeza tatizo baada ya maombi maumivu yote yalipotea nikawa mzima ka sijafanyiwa operation. Namshukuru Yesu ka si yeye nilipona kabisa kwangu Mimi ni muujiza mkubwa mno
mkuu kama faith healing inafanyika manake matokeoa yake yanapaswa kuwa dhahiri undertanding of how it works inaweza kuwa nje ya uwezo wangu mie concern yangu je ni kitu halisi kinafanya kazi kuna ushahidi wowote wa influence ya faith kwenye uponyaji wa mtu.Faith healing is a spiritual matter and can therefore only be appreciated by spiritual beings,people who have true faith in Jesus Christ,that is born again Christians.If you are not a born again Christian, this is above your mental faculties, you cannot appreciate it or understand it.Canal minds cannot understand the things of God,because to them it is foolishnesses.
Nilikuwa shafanyiwa matibabu na sikuona unafuu zaidi ya kuongeza tatizo LA maumivu kurudi hospital dr akanipa za kupunguza maumivu nakuniambia maumivu hayaishi na hali ya hewa ikibadilika tu maumivu, so siku hyo nilivornda church sikutegemea aisee maumivu yote yaliishawakati unafanyiwa maombi uliendelea na matabibabu ya kawaida kama ndio ulijuaje ni maombi yamesaidia?
am not skeptical about bible stories am curious about faith healing performed by our self proclaimed prophetess if its authentic or they are just conning poor people.Kuna stor ya mwanamke mwenye haemophilia, she's bleeding for almost several yrs before she got a quick & priceless healing from Jesus the Lord..
Yes,ushahidi upo and ample.Sio rahisi wewe kuona kwa kuwa inaelekea sio born again Christian, kwa hiyo huna connection yeyote na born again Christians.Yesu mwenyewe alipokuwa hapa duniani Ministry yake ili focus on preaching the word of God and meeting the requirements of the the needy, including heeling the sick na akasema sisi tukimuamini tutafanya zaidi ya yeye aliyofanya, including heeling the sick.How magnificent.mkuu kama faith healing inafanyika manake matokeoa yake yanapaswa kuwa dhahiri undertanding of how it works inaweza kuwa nje ya uwezo wangu mie concern yangu je ni kitu halisi kinafanya kazi kuna ushahidi wowote wa influence ya faith kwenye uponyaji wa mtu.
Faith in what?Imani yako ndio itakayokuponya, Kinyume na hapo usitegemee miujiza.
Maybe you can help Me. I had a strong faith before, lkn baada ya kuomba na kuombewa sana na tatizo langu halijaisha yaani saivi nikiona, kusikia au kuambiwa habari hizi za maombi ya uponyaji najikuta nimevurugwa kabisa najiuliza wanaoamini na kupokea wanaamini vipi mbona Mimi sipokei hiyo miujiza. Hebu sema chochte mkuuFaith in what?
Hujaumwa sawa sawa Wewe siku ukibwanwa utawatafuta faith healers mwenyewe.Hapo kwanza wewe una tatizo kubwa umekaa kimya shauri yako hicho kinachokusumbua kinakutosha usijiongezee matatizo mengine kwa kukashifu faith healers wasije kukufanyizia bureWizi mtupu