Kuna usalama hapa ndugu zangu?

nawewe ulifuata nini kwenye simu ya mkeo? uliyataka mwenyewe yani unakuala jalalani then unataka ukapime kipindupindu? mambo mengine mnajitakia tu, kwa ufupi anagegedwa tena sana tu ndio maana wanawekeana mikakati ya jinsi ya ku ku fool.
Duh!! Majibu mengine yanakatisha tamaa
 
Hehehehe
 
No mpe fursa ya kujitetea,ili ujue ukweli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…