Anajop namna ya kukudanganyaMoja kwa moja kwenye mada wanajamvi, nina mke japo hatujafunga ndoa na tuna miaka kama sita tukiwa pamoja japo nikiri muda mwingi tunaishi mbali mbali kwa sababu mbali mbali
Siku moja nikaona screenshot ya conversion aliyokuwa anachat na mtu(mwanaume), jamaa anamuuliza vitu gani vya kupunguza? Bi dada anajibu"mfano tunawasiliana sana akiwepo do you think itakuwa sahihi ebu niambie na wewe"
"For me ukiwa na mama flan sitotaka simu za usiku sintotaka aumie au sitotaka niwagombanishe" jamaa akajibu sawa..
Mimi ikabidi nimuulize baba flan unamjua akabisha katakata, nikamtumia screenshot akasema atanielezea hiyo conversion nikamwambia sihitaji maana kasema hamjui!
Ndugu zangu huyu mwanamke sijawahi kumdoubt kwa lolote ila hilo nimeshtuka kidogo... ushauri wenu wadau nimsikilize au niconclude kuwa hapa hamna usalama?
Miaka sita unadinya TU mtoto wa watu na huna mpango wa kumuoa, ukorofi huo.Moja kwa moja kwenye mada wanajamvi, nina mke japo hatujafunga ndoa na tuna miaka kama sita tukiwa pamoja japo nikiri muda mwingi tunaishi mbali mbali kwa sababu mbali mbali
Siku moja nikaona screenshot ya conversion aliyokuwa anachat na mtu(mwanaume), jamaa anamuuliza vitu gani vya kupunguza? Bi dada anajibu"mfano tunawasiliana sana akiwepo do you think itakuwa sahihi ebu niambie na wewe"
"For me ukiwa na mama flan sitotaka simu za usiku sintotaka aumie au sitotaka niwagombanishe" jamaa akajibu sawa..
Mimi ikabidi nimuulize baba flan unamjua akabisha katakata, nikamtumia screenshot akasema atanielezea hiyo conversion nikamwambia sihitaji maana kasema hamjui!
Ndugu zangu huyu mwanamke sijawahi kumdoubt kwa lolote ila hilo nimeshtuka kidogo... ushauri wenu wadau nimsikilize au niconclude kuwa hapa hamna usalama?
Mkuu no doubts huyo mtu wako analiwa na huyo mwamba. Ila wewe msikilize tu uone atatoa majibu gani. Usiache kumsikiliza.Moja kwa moja kwenye mada wanajamvi, nina mke japo hatujafunga ndoa na tuna miaka kama sita tukiwa pamoja japo nikiri muda mwingi tunaishi mbali mbali kwa sababu mbali mbali