Kuna upigaji mkubwa kwenye zoezi la sensa mabilioni kwa mabilioni

Mabilioni ya Sensa yameliwa, kuanzia pesa za malipo,mikataba ya kununua tablets ulikua wizi mtupu.

Wanasema tablets kila moja imenunuliwa kwa laki 9 tablets hizo hizo na aina hiyo na kampuni hiyo kule aliexpress zinauzwa kati ya 190k hadi 230k huku kwenye mikataba zinaonekana ni shilingi laki tisa

Sasa zidisha kwa makarani laki 3 ndo unajua hii nchi inapigwa

Tukija kwenye semina, hela za chakula walisema ni elfu 10 kwa siku ila haikua hivyo watu walipewa chai na andazi moja asubuhi na mchana kijiwali cha maharage hapo elfu 10 imeisha

Wakufunzi walilipwa laki kwa siku, makarani walipaswa waende mafunzo kwa siku 19 lakini mafunzo yameishia siku 14 tu kwa sehemu nyingi halafu hela za hizo siku 5 walizoambiwa wasiende ziko wapi??Zimepigwa...Sasa piga karani kwa siku anatakiwa apewe Tsh 40000 na elfu 10 ya chakula jumla elfu 50 zidisha kwa makarani laki 3 kwa siku 5 ambazo hawakwenda na zimeshatolewa kwamba walipaswa walipwe lakini hizo siku zimepunguzwa kijanja ili wapige ndo utajua hii nchi pesa zinapigwa.

Hela za makarani mfano, katika kituo cha N.I.T makarani juzi walipewa shilingi laki 4 na kulikua na makarani zaidi ya 1450 lakini hao makarani walipewa pesa kwa mkono na kulazimisha wakahesabie nje eti kupisha wengine wapewe ili kuokoa muda ambapo kati ya hao makarani zaidi ya 200 walikuta wamepewa laki tatu na 90 tu yaani 390k badala ya 400k yaani laki nne sasa piga hesabu hapo watu zaidi ya 200 wamepunjwa elfu 10 zidisha mara watu 200 ndo mtajua hii nchi inapigwa..

Pia Sehemu nyingi Tanzania kulikua na majina hewa ya wanasiasa,madiwani na makada wa ccm na watumishi wa umma ambao inaonekana walilipwa kama makarani lakini ukweli hawakuwepo kwenye mafunzo.
Mfano kuna madiwani kadhaa wa ccm,makada wa ccm na watumishi wa umma ambapo kwenye sensa inaonekana waliomba, kwenye interviews majina yalitoka kwamba waende, lakini hawakuonekana, na cha ajabu waliopata usaili nao wamo na kwenye mafunzo hawakuwepo lakini majina ya walolipwa nao wamelipwa, huu mchezo ngazi ya kiwilaya maplayer wakubwa ni MADC, WAKURUGENZI na WASIMAMIZI WA SENSA KIWILAYA NA WALE WA VITUO VYA KATA VYA SENSA....

Unaambiwa Tanzania kuna maelfu ya makarani hewa wamelipwa hela za Sensa, inasikitisha huu mchezo umechezwa na Watu wa NBs, vigogo wa chama, Madc ndo usiseme, madiwani, watu wa halmashauri na wasimamizi wakuu wa vituo vya sensa...

Kibaya zaidi hizi hela zinatoka hazina moja kwa moja ambapo watu wanapiga pesa haswaa,uhuni mwingine hadi sasa kuna sehemu makarani hawajalipwa, wahuni wamechukua hela wakaenda kuziingiza kwenye mzunguko wa biashara zao then wakishavuna faida ndo makarani wanalipwa kwa kuchelewa huu mchezo unachezwa sana.

Kiujumla zoezi la Sensa limejaa wizi, wizi, ufisadi na kila aina ya upigaji, wakileta ukaguzi wa nje mtagundua sio chini ya bilioni 200 au bilioni 400 zimefyekwa na kuliwa na wachache...

Hii nchi inapigwa sana....Nadhani hata wakaguzi wa ndani hawataweza hili jambo ni mzigo mkubwa mno huu natamani tupate wakaguzi wa nje muone madudu yatakayoanikwa, kuna washenzi hadi natamani niwataje kwa majina wamehusika moja kwa moja kwenye kufuja hizi pesa, Nimeamini nchi yetu kuna ufisadi wa kutisha!!!Sasa niwatonye tu waulizeni mauditors madudu wanayoyakutaga huko halmashauri!!!Mnacholetewa na Ma-Cag hicho ni 40% tu ya kiasi halisi chenyewe, auditors wengi hupoozwa sana na halmashauri nyingi, hakuna watu wanaongoza kwa kupoozwa kama mauditors kwani hukuta madudu kwenye halmashauri nyingi sana na ya kutisha lakini mengi yanafichwa kwa kupoozwa, hivi mnafahamu kuwa C.A.G dr Assad ile report yake alikuta kuna zaidi trilioni 4 hazijulikani zilikwenda wapi?Lakini baada ya kumkuta la kumkuta alituambia ni 1.5 trilioni ila ajitahidi sana.

Kwa hili linahitaji wakaguzi wa nje tu waje kukagua hili la sensa ni too much, sijui kama Tanzania itakaa iendelee kwa huu wizi uliokithiri hivi...Hii nchi ina uozo mwingi sana naandika hadi natetemeka kwa hasira...
Kibaya sasa, wanaopiga hizo pesa ni wageni

Msoga Jazz Band-walamba asali leo tupo Ukumbi wa Sensa tunacheza kwa mtindo wa tukunyema na sensabika!
'Waziri wa fedha mwenyewe mshamba,alikuja mjini baada ya kufaulu mtihani wa form six'hatari sana!
 
Kinachonisikitisha zaidi ni kwamba 75% ya Wadada / Wanawake waliopata hii Ajira wametumika sana Kiudhinifu na Kujikusanyia zaidi Vijidudu Hatari vya Mwaka 1981 na vilivyoshindikana mpaka leo na WHO.
 
Umaskini kitu kibaya Sana

Watu wanahisi wakarani wa sensa wanafaidi Sana keki ya taifa

Hizo laki 4 wanazolipwa baada ya siku chache zinaingia mtaani na kwenye mifuko ya watu wengi

Tushukuru awamu hii ya mama haina ubinafsi inatoa fursa kwa wananchi wote bila kujali matabaka yao
 
Hii serikali imejaa watu wa ajabu sana, ufisadi uliokithiri, viongozi wasio na weledi kabisa

Hapo arusha kuna kiwanda cha Tofali cha serikali kina takribani miezi 3 hakifanya kazi baada ya mkurugenzi wa jiji kutumbuliwa na waziri mkuu kwa matumizi binafsi ya fedha za serikali

Kile kiwanda kime-stop kufanya kazi wakati mkurugenzi mpya ameshaletwa siku nyingi sana sijui wanasubiri nin, imefikia mpaka cement 114 zimeganda hazifai kwa matumizi, hakuna anae hoji wala kufuatilia

Hizo ni pesa za watanzania zinapotea kirahisi rahisi, ukipiga hesabu ni takribani 2 million zimeteketea kwa uzembe wa watumishi wa halmashauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom