kuna umuhimu wa kuwa na Sirikali TATU?

mstahiki

JF-Expert Member
Jul 14, 2007
308
7
Napendekeza Bunge la Jamhuri Muungano na Balaza la wawakilishi kufikilia kuwa na Serikali tatu.Serikali ya Tanganyika,Zanzibar na Serikaliya Muungano.
Napendekeza John Malechela kuongoza serikali ya muungano na makamu wake kuwa Maalimu Seif.
 
mbona walishafikilia!! pendekezo lako tena nalo limechelewa... labda ukumbushie tu..
 
Napendekeza Bunge la Jamhuri Muungano na Balaza la wawakilishi kufikilia kuwa na Serikali tatu.Serikali ya Tanganyika,Zanzibar na Serikaliya Muungano.
Napendekeza John Malechela kuongoza serikali ya muungano na makamu wake kuwa Maalimu Seif.
Zenj kuna Baraza la Wawakilishi
 
Back
Top Bottom