Nimepigwa na butwaaShauri yako siku unamkuta ni shemale anataka akubinue wewe ndio utapata akilii hiyo ilikua ni zamani mnaoana mkiwa hamjado dunia ya leo manjorinjori mengiii
Haya bana.... na siku ya ndoa ukikuta hana uke utafanya nini...??Kuna mwanamke mdogo kwangu ni mpenzi wangu nimemzidi miaka 5 and she is vargin I have been insist to make love with her bt anasema anaogopa hatoweza! Mi nko tayar kumsubiria mpaka ndoa, wadau mnasemaje katika hili?
hivi lele baba haina maana eee?Unataka kumuoa kwa kuwa unampenda yy au bikra yake???na je kama ukimuoa na ukigundua hana bikra alikudanganya utamfanyaje???!!!ndoa sio lele mama
Nimepigwa na butwaa
Hayo maneno unayasema wewe? au kuna mtu amekuibia ufunguo wako
Ndio maana nimeshangaa sanaEeeee kuna mtu kaingia kuandika bila ruksa yangu!!!!
Ndio maana nimeshangaa sana
Sababu siku moja tulikua na kamada ketu cha kukumbushana, unakumbuka?
Na mimi nilikuwa nakushawishi ukale chakula cha nje, wewe ukakataa katakata
Ndio maana leo nilishikwa na bumbuwazi nikahisi kuna kitu hakiko sawa