Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,680
- 149,874
Kwa awamu hii nafikiri sasa umefika wakati tuwe na Jukwaa maalumu linalohusu teuzi na kutenguliwa maana habari hizi za watu kuteuliwa na kutenguliwa zimekuwa nyingi kiasi kwamba zinaweza kuwa na jukwaa lake maalumu kwa mtazamo wangu.
Kwa wanaopenda kujua nani kateuliwa na nani katenguliwa basi waingie tu katika hilo Jukwaa na pia Jukwaa hilo litarahisisha kuweka kumbukumbu za wanaoteuliwa na kutenguliwa.
Wadau mnaonaje kuhusu hili?