Kuna umuhimu wa hili????

OGOPASANA

JF-Expert Member
Apr 30, 2009
262
144
Heshima kwenu wadau,
Kwa tathmini yangu ya upeo wangu, nimegundua kuwa watanzania wengi hasa wa hali ya chini wanaojishughulisha katika mambo ya biashara wanakosa mambo makubwa matatu ambayo nafkiri ni muhimu kwenye biashara: UJUZI, UZOEFU na UBUNIFU.. ndo maana tumejikuta kuigana biashara, na kurudia rudia ideas zilezile..hivyo nilikuwa nawaza inawezekana kwa JF kuweka 'DATABASE' ya business ideas zote zilizojadiliwa tangu kuanzishwa kwa JF na nitakazojadiliwa katika michanganuo stahiki kibiashara (in printable formats) ili iwe rahisi na iwe na manufaa kwa wadau kupata uelewa , ufahamu na kufanya maboresho badala ya kusearch threads na comments za watu.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom