Kuna ulazima wa kuvaa sare Msibani?

Kuna ulazima wa kuvaa sare Msibani?

5.Mc naye analipwa
6. Gari la kubeba maiti, linakodishwa
7. Kwaya za kuimba na kulia misibani zipo na wanalipwa
8. Mchungaji nayekuja kuzika, anaposho(unaweza kukuta msiba una wachungaji wengi, sio bure wale)
9.Wapiga picha mnato na video(Hivi kuna siku eti unakaa kuangalia namna marehemu alivyo zikwa!!!)

HAPA NDIO UTAJUA WENZETU WAISLAMU, WAKO VIZURI KWENYE TARATIBU ZA MAZISHI
Hahahahaha..Fursa juu ya Fursa
Waislamu wamerahisisha ktk kuoa na katika kuzika .na hata maisha yao ya kila siku
 
Ata kwenye pilau la msiba nazingatia mapishi kwaiyo watu wapike hovyo eti kwa sababu ni msiba wasivae vizuri au pasipambwe vizuri eti kwa sababu ni msibani sio kweli
 
Hahahahaha..Fursa juu ya Fursa
Waislamu wamerahisisha ktk kuoa na katika kuzika .na hata maisha yao ya kila siku
Ni wazi Haya maoni ya wengi humu JF ni stereoisomers in nature.

Unless Kama yanawahusu Islams wa class fulani pekee, vinginevyo maisha ya family nyingi za Islams ni tofauti mno na maoni ya wengi humu.
 
Mzee waache wa kuvaa sare wavae, wewe ikifika zamu yako tokelezea rapurapu bin waluwalu kuonesha kuumizwa.
Si kwaajili ya mtu au kuonekana umehuzunika....shortly...humanity utu....vitu vingine si vya kuiga
 
USHAURI KWAKO MKUU

-Fanya yakwako uyapendayo
-Ishi vile utakavyo wewe
-Yawatu waachie wao
-Yasiyokuhusu achana nayo
-Usiwapangie watu namna ya kuishi
-Usijiulize kuhusu aina ya maisha ya watu wasiokuhusu
-Kama wanakuhusu basi kawaulize wao, sio sisi
Nani kakwambia nilikuuliza wewe? Ilikuwa haikuhusu na wewe ungepita tu mkuu sikukutagi kukuomba au kukuuliza wacha kimbelembele....Wenye wameona tunaeza badilishana mawazo Mungu awabariki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom