Head current
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 479
- 128
ahahahhahah hii kichwa hii!mwee!Anyway let's start somewhere.
Kwanini umekuja na hilo swali?
Wasiwasi wako ni nini?
Wewe unafikiri kuna tatizo?
Na kama lipo ni lipi?
Una account Facebook?
Unatumia majina yako sahihi?
Anaifahamu?
Unahisi kwa kutumia real ID yako FB unapungukiwa na uhuru?
Ni uhuru gani unaouhitaji hadi kutumia fake ID humu JF?
Na una wasiwasi utapungua?
Hufikirii naye ni member wa JF?
Suppose ndiye The Boss utajisikiaje?
Ukijibu hayo maswali utakuwa umejua nini cha kufanya?
ahahahhahah hii kichwa hii!mwee!
nitilie maji kidogo basi nipunguze kukupenda lol!
ntawehuka sasa na haya maakili yako!
Anyway let's start somewhere.
Kwanini umekuja na hilo swali?
Wasiwasi wako ni nini?
Wewe unafikiri kuna tatizo?
Na kama lipo ni lipi?
Una account Facebook?
Unatumia majina yako sahihi?
Anaifahamu?
Unahisi kwa kutumia real ID yako FB unapungukiwa na uhuru?
Ni uhuru gani unaouhitaji hadi kutumia fake ID humu JF?
Na una wasiwasi utapungua?
Hufikirii naye ni member wa JF?
Suppose ndiye The Boss utajisikiaje?
Ukijibu hayo maswali utakuwa umejua nini cha kufanya?
Anyway let's start somewhere.
Kwanini umekuja na hilo swali?
Wasiwasi wako ni nini?
Wewe unafikiri kuna tatizo?
Na kama lipo ni lipi?
Una account Facebook?
Unatumia majina yako sahihi?
Anaifahamu?
Unahisi kwa kutumia real ID yako FB unapungukiwa na uhuru?
Ni uhuru gani unaouhitaji hadi kutumia fake ID humu JF?
Na una wasiwasi utapungua?
Hufikirii naye ni member wa JF?
Suppose ndiye The Boss utajisikiaje?
Ukijibu hayo maswali utakuwa umejua nini cha kufanya?
Thanks Nicas, was trying to make her/him see and come with terms with her/his fears. natumaini ameshapata jibu linalomfaa!
amepata jibu ndo maana hajarud tena
duh umeamua kuweka conclusion kabisa kwikwikwikwi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!