issa mweusi
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 1,477
- 1,139
Kuna ulazima wa kulazimishana kuchangia mwenge na kwenda kufanya mazoezi ya pamoja kila mwisho wa mwezi????? hebu nisaidieni wanajf.
From Kibiti
From Kibiti
Ufafanuzi tafadhari,Mwenge na maagano ya kishirikina vipi na vipi?Ukichangia mwenge unajiingiza kwenye maagano ya kishirikina.Gharama yake ni kubwa sana.