funduku
Senior Member
- May 2, 2013
- 131
- 36
Matumaini yangu mpo wazima, Ishu ni kwamba mimi binafsi nafikili kuna baadhi ya vitu au maneno si yalazima kuyataja ktk sentensi au kauli. kwa mfano uta sikia mtu anasema "Ngoja kwanza nikaoge maji". na wakati neno 'maji' halikua la lazima kulitaja kama ungesema "ngoja kwanza nikaoge" ungeeleweka bila ya kutaja neno maji, maneno mengine utasikia eti mtu anasema, naenda kunya mavi au naenda kukojoa mkojo, na wakati angesema kua naenda kunya au kukojoa tayari ingefahamika bila ya kutaja mavi au mkojo. Asenteni sana naomba kuwasilisha. maneno mengine yanayofanana na hayo ongezea wewe hapo chini ambayo watu hupenda kuyatamka.