Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,704
- 7,409
Kuna tetesi nimezipata mahali kuwa JWTZ imeliagiza JKT kuacha mara mmoja kuandikisha vijana jeshini kwa Vimemo kutoka kwa wanasiasa. Unakuta Mwanasiasa moja analeta majina ya ndugu 100 kupitia maeneo tofauti.
Jeshi linakuwa la undugu. Jeshi limeapa kuwataja kwa majina na kuchukua hatua. Ilisema sehemu ya tetesi hiyo.
Hivi karibuni Jeshi limelikatalia Bunge kuondoa kigezo cha JKT ktk uandikishaji licha ya Bunge kupinga kigezo hicho.
Kumbuka kuwa kigezo cha kujiunga majeshi yote humu nchini ni lazima uwe umepitia JKT.
Kuna ukweli wowote kuwa Jeshi sasa linataka kuwa huru?