Yani babu umerudii badala ya kutoa vizawadi ulivyokuja navyo. Unaanza tena kuniozeshaa tena kwa lazimaa huko sijui umetoka wapi???...... Maana si kwakutekwaa hukooo
.