Binafsi noop!
Unajua kuna tofauti between jogoo kutokuwika na weak erection,mtu anapokuwa amechoka sana hasa akilini anaweza akaweza kugegeda lakini tegemea kuwa atakuwa dhaifu kidogo compared na akiwa yuko vizuri mentally.
Sasa ka huyo wako jogoo hawiki kabisa halafu anakwambia ni kwasababu amechoka sio kweli kabisa kuna jambo lingine either hapati msisimko au hawezi kabisa.