Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,555
Michael ni nani?Michael amekudanganya mkuu!![]()
![]()
........ believe me!
Michael ni nani?Michael amekudanganya mkuu!![]()
![]()
........ believe me!
Nakupenda V![]()
good
Habari za Leo wana chit chat
.........Je, ni kweli mwanaume akiwa amechoka Sana wakati wa tendo la ndoa uume unaweza usisimame kwasababu ya uchovu alionao?????
NOTE: jibu swali km lilivyoulizwa km unafahamu chochote... Kama huelewi kaa kmy kuepuka BANNED zisizo za lazima!!!!!
interesting....wowMapenzi ni hisia.kama kachoka kiakili usitegemee nyuzi 90.
Ila kama kachoka kimwili..kitu kitasimama tu
Cha kwenu ni kiwapi?Nakupenda V
Sijui nitumie lugha ipi kuwasilisha huu ujumbe kwako
Au niongee cha kwetu..
Oooh na Daby sikawaida yke!!! Espy kuna mahala nimemuona mda si mrefuuu
Chagua kati ya hivi..Cha kwenu ni kiwapi?
Kama kawaida show showKigegedeo kwahiyo kinanyanyuka
Nachagua kisukumaChagua kati ya hivi..
Ki sukuma
Kiha
Kimakunduchi
Kihaya
Kinyarwanda..
Kirundi
Kibembe