Kuna ukweli wowote kwenye katuni hii

Caroline Hans

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
723
386
Katika pitapita zangu nimekutana na Katuni hii ya watu wawili wakijadiliana kuhusu ugumu wa maisha huku mmoja akionekana kuunga mkono wazo la mwenzake!
IMG-20170412-WA0022.jpg
 
Aiseee! Ni uhalisia kabisa wa hali ya sasa. Ambapo mtu alosoma hadi akawa na digrii kadha hana tofauti na drop out wa la saba B. Yani kimapato. Labda hadhi tu ya usomi na reasoning capacity ndio tofauti
 
Ukweli unakuja pale umesoma kwa tabu na baada ya kumaliza unakosa kazi na kujishughulisha na shughuli wanazofanya ambao hawana kiwango cha elimu ulichonacho
 
Umesooomaaa hadi Kijiji kilikufanyia tafrija.Kufika town mkuu wako wa mkoa aliibaga cheti na Hana hofu Ila wewe tu umekalia kumsimanga.Hahahahahahaaa very cheko aisee!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom