Kuna ukweli wowote kuhusu hili?

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
Hivi kwanini mkitongozana mnakuwa mnachat sanaaaa lakini ngoja muunganishe vikojoleo chatting zinapungua hata ladha hakuna tena.
 
Hata mimi natamani kujua. Tumsubiri mkuu Mwanamalundi aje kutujuza.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ngoja aje kukufulumisheni na thread yenyu, kuchokana na aswa mkiongozwa na tamaa mkuu... mkipendana ile kifilipino si rahisi kupotezeana kisa eti mshananii
 
Hivi kwanini mkitongozana mnakuwa mnachat sanaaaa lakini ngoja muunganishe vikojoleo chatting zinapungua hata ladha hakuna tena.

ndo tatizo la ku-test mambo kabla ya ndoa! anyway, kuhusu swali lako naweza kusema inategemeana na huyo mrembo wako alivyo kiuzuri na kiumbile! kama yuko bomba hutokuwa hivyo. tchao...
:target:
 
Huu utoto sasaa
Ukitaka kujua kwamba vikojoleo ndo mwisho wa aibu zoote jaribu kutembea uchi
Acha kujaza server mkuu
 
mnachat kwa kuwa mnasetiana kisaaikolojia kwa ajili ya kugegedana...sasa ulishamgebeda hamna shida ya kumset...mtaseyiana haoo hapo wakati wa game
 
Hivi kwanini mkitongozana mnakuwa mnachat sanaaaa lakini ngoja muunganishe vikojoleo chatting zinapungua hata ladha hakuna tena.

Mwenzio kauliza mambo yake ukamjibu anatumia masaburi kufikiri....
hayo mambo angemuuliza mpenzi wake!!!!
sa mbona we unatuuliza hapa? he he he he nilikuwepo!!!!!!
 
ni mtizamo tu.
 
ndo tatizo la ku-test mambo kabla ya ndoa! anyway, kuhusu swali lako naweza kusema inategemeana na huyo mrembo wako alivyo kiuzuri na kiumbile! kama yuko bomba hutokuwa hivyo. tchao...
:target:
sio tatizo ndiyo uzuri wake huo ....maana watu wanaweza ingia kwenye ndoa halafu ikawa balaa
 
Nyie hampendani mie mpaka kesho nachat nae tena sana na ukiona nipo huku ujue nimesingizia mtandao unasumbua au nipo busy na kazi au nasingizia nalala.Na tumeshavikutanisha mara kibao yaani mpaka vina alama na vinatambuana
 
kha!!! kwa hiyo wewe umegegedwa mpaka k yako inaifahamu kabisa dushelele ya jamaa...aibu!!!
 
Hivi kwanini mkitongozana mnakuwa mnachat sanaaaa lakini ngoja muunganishe vikojoleo chatting zinapungua hata ladha hakuna tena.

Duh ni kweli kabisa mkuu.... Sijui huwa inasababishwa na nn?????

Ngoja wataalamu wa.mahusiano waje!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…