Kuna ukweli wowote katika hili ?

Kuna ukweli wowote katika hili ?

Huo ndio ukweli,ila kwasababu behind mwiko wenye akili ni wawili tuu watabisha na kuukataa ukweli
 
Hajakosea,fatilia historia timu ya kwanza kupanda ndege,kuvaa viatu,jezi,kutoa fursa Kwa wachezaji kwenda kucheza nje nk,yanga Wana sifa zote za kimaskini
 
Kama Kuna mtu atakataa ukweli huu Nampa Kitu kingine,yanga hata wawe na mechi MUHIMU kiasi gani ukiwewekea kiingilio hawaendi,mfano mechi za yanga za shirikisho walipoingia fainali,SIMBA MECHI HATA IWE SIKU ZA KAZI FULL HOUSE KWA KIINGILIO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom