Hii ndio hali anayopitia X wangu mmoja hata miezi miwili haijaisha tangu tuachane. Sijawahi futa namba zake (natunzaga namba za ma-X kwa ajili ya kupasha viporo
). Kuna msela naona mda wote anampost na kuandika status za vijembe wkt mbunye nimeshaichakata sana yeye akaleta maujinga tukaachana. Muhuni naishiaga kuziangalia tu status zake halafu nabaki "hiiiiiiii" (in Magufuli's voice)...
Sasa nina siku ya tatu nime-mute status zake nisizione whatsapp, asubuhi hii naona kanitext hapa... "Vipi Kactus mbona siku hizi hauangalii status zangu?". Sijamjibu nimeishia kucheka tu. Slay queen wana tabu sana