pitbull JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 596 Reaction score 186 Jul 5, 2012 #1 Hivi ni kweli kuwa asilimia themanini ya watu hapa jf ni wachagga?
Yegomasika JF-Expert Member Joined Mar 21, 2009 Posts 13,164 Reaction score 61,278 Jul 5, 2012 #2 pitbull said: Hivi ni kweli kuwa asilimia themanini ya watu hapa jf ni wachagga? Click to expand... Swali litajibiwa vizuri na aliyefanya hiyo sensa!.
pitbull said: Hivi ni kweli kuwa asilimia themanini ya watu hapa jf ni wachagga? Click to expand... Swali litajibiwa vizuri na aliyefanya hiyo sensa!.
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,789 Jul 5, 2012 #3 Ndiyo ! Na sababu iliyopelekea iwe hivyo ni kwa vile ndiyo sisi pekee tuliosoma sana kuliko makabila yote Tanzania. Swali jingine please!
Ndiyo ! Na sababu iliyopelekea iwe hivyo ni kwa vile ndiyo sisi pekee tuliosoma sana kuliko makabila yote Tanzania. Swali jingine please!
ENZO JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 4,248 Reaction score 1,745 Jul 5, 2012 #4 Judgement said: Ndiyo ! Na sababu iliyopelekea iwe hivyo ni kwa vile ndiyo sisi pekee tuliosoma sana kuliko makabila yote Tanzania. Swali jingine please! Click to expand... I agree with yu 1000,000%
Judgement said: Ndiyo ! Na sababu iliyopelekea iwe hivyo ni kwa vile ndiyo sisi pekee tuliosoma sana kuliko makabila yote Tanzania. Swali jingine please! Click to expand... I agree with yu 1000,000%
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,841 Reaction score 37,579 Jul 5, 2012 #5 Judgement said: Ndiyo ! Na sababu iliyopelekea iwe hivyo ni kwa vile ndiyo sisi pekee tuliosoma sana kuliko makabila yote Tanzania. Swali jingine please! Click to expand... Tokeni zenu hapa!
Judgement said: Ndiyo ! Na sababu iliyopelekea iwe hivyo ni kwa vile ndiyo sisi pekee tuliosoma sana kuliko makabila yote Tanzania. Swali jingine please! Click to expand... Tokeni zenu hapa!
muwaha JF-Expert Member Joined May 13, 2009 Posts 740 Reaction score 148 Jul 5, 2012 #6 Naunga mkono hoja.
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,841 Reaction score 37,579 Jul 5, 2012 #7 muwaha said: Naunga mkono hoja. Click to expand... Hamna lolote bhana. Hyo Sensa kaipitisha nani bhana?
muwaha said: Naunga mkono hoja. Click to expand... Hamna lolote bhana. Hyo Sensa kaipitisha nani bhana?
Asnam JF-Expert Member Joined Jan 18, 2012 Posts 4,256 Reaction score 2,949 Jul 6, 2012 #8 utawajua tu wanaopenda ukabila mmeanza kuleta na sensa za ukabila humu then what next?