Kwamba laiti Binadamu ( hasa Watanzania ) tungekuwa tunajua Siku zetu za Kufa, Muda na Jinsi Vifo vyetu vitakavyokuwa huenda tungeheshimiana sana na kupendana mno kiasi cha Kumfurahisha Mwenyezi Mungu na tusingekuwa tunachukiana, tunakomoana, tunafitiniana, tunatekana na kutesana na midude mbalimbali ya huku na kule Tanzania, Afrika na Dunia ingekuwa sehemu salama huku Malaika kila mara wakipenda Kuishi nasi.
Kuna ukweli wowote hapa?
Nawasilisha.