Yah ni kweli, kuna binti mmoja nilikuwa naishi nae, alipobalehe akarudi kwao kuchezwa ngoma( tanga kilindi) alikaa ndani siku wiki mbili ila kuna namna ambavyo wanasafisha na pumba and blaa blaa, baada ya hapo hakurudi tena, akatafutiwa na mume kabisa. Ila mkuu hilo ni jambo la kweli kabisa, though these days hayo mambo yanaanza kupungua sababu ya utandawazi