Hahahaha πππππ Mzee unaonekana ni MTU wa kumwaga Sana Moto....mwaka Jana nilifanya safari ndefu Sana na forester aisee kwakweli hizi gari utapenda zikiwa safarini hasa hizi zenye turbo ndiyo balaa zaidi..
Kuna sehemu nilikuwa naovertake kama ingekuwa naendesha Toyota nisingeweza , Ila Subaru ni kama UMEME Tu inanifanya nijiamini Sana nikiwa barabarani
Aliyebuni hizi mashine nampa kongole sana