Kuna ukweli kuwa mchezaji Khalid Aucho amegoma kuwasiliana na Viongozi wa Klabu yake ya Yanga?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,207
4,703
Wadau wenzangu

Hizi ni tetesi zinazosambaa kwa kasi kubwa kama moto wa gesi.

Kwamba "Daktari wa Soka" sasa hapokei simu za Viongozi wake au muda mwingine huwa hapatikani kabisa.

Kwamba eti tabia yake imebadilika pakubwa siku za karibuni.

Kwamba mchezaji huyo raia wa Uganda ana mipango mkakati asiopenda kuwashirikisha waliomuajiri.

Mwenye Taarifa za uhakika atufahamishe.
 
Mi mwenyewe nilitaka kushangaa, Aucho atakuwa mganda wa aina gani asiwe msumbufu. Hakika nawaambia sifa kubwa ya waganda ni usumbufu! Yaani ukiajili mganda jiandae ki saikolojia maana akiishagundua thamani yake kwako, utakoma ubishi! Atasubiri siku Una Jambo nyeti Sana eye ndio analeta madai yake, migomo, mikwara n.k. Binafsi huwa sina Imani yoyote na mganda. Eye haangalii unanufaikaje naye, eye anajali maslahi yake tu. Hivyo basi likisemwa lolote kuhusu mganda yeyote, Mimi sipingi. Waganda ni wasumbufu sio pole pole, ni saaaaana tu!
 
Wadau wenzangu

Hizi ni tetesi zinazosambaa kwa kasi kubwa kama moto wa gesi

Kwamba "Daktari wa Soka" sasa hapokei simu za Viongozi wake au muda mwingine huwa hapatikani kabisa

Kwamba eti tabia yake imebadilika pakubwa siku za karibuni

Kwamba mchezaji huyo raia wa Uganda ana mipango mkakati asiopenda kuwashirikisha waliomuajiri

Mwenye Taarifa za uhakika atufahamishe
Khalid Aucho anatarajia kuingia leo Mkuu baada ya recovery.

Yanga sasahivi ni ngumu mchezaji kugoma eti kwa sababu ya kushindwa kulipwa stahiki zake.

Yanga wameingia mikataba minono huu msimu ko hela zipo za kushato mkuu.

Game ya Mbeya Kwanza na ile ya Tar11 atakuwepo tu mkuu🥱,Tuombe uzima tu inshallah!!
 
Mi mwenyewe nilitaka kushangaa, Aucho atakuwa mganda wa aina gani asiwe msumbufu. Hakika nawaambia sifa kubwa ya waganda ni usumbufu! Yaani ukiajili mganda jiandae ki saikolojia maana akiishagundua thamani yake kwako, utakoma ubishi! Atasubiri siku Una Jambo nyeti Sana eye ndio analeta madai yake, migomo, mikwara n.k. Binafsi huwa sina Imani yoyote na mganda. Eye haangalii unanufaikaje naye, eye anajali maslahi yake tu. Hivyo basi likisemwa lolote kuhusu mganda yeyote, Mimi sipingi. Waganda ni wasumbufu sio pole pole, ni saaaaana tu!
Sio wote ni wachache na pale wanaposumbua jua kuna jambo haliko sawa huwa Mara nyingi wanataka maslahi yao ( stahiki) zao kwa wakati bila mizungushano.
 
Rejea kwa Juuko Murshid alianza kuchelewa makusudi kikosini, akapigwa chini na Simba SC.
 
Wadau wenzangu

Hizi ni tetesi zinazosambaa kwa kasi kubwa kama moto wa gesi.

Kwamba "Daktari wa Soka" sasa hapokei simu za Viongozi wake au muda mwingine huwa hapatikani kabisa.

Kwamba eti tabia yake imebadilika pakubwa siku za karibuni.

Kwamba mchezaji huyo raia wa Uganda ana mipango mkakati asiopenda kuwashirikisha waliomuajiri.

Mwenye Taarifa za uhakika atufahamishe.
Mbona kaishafika yuko dar?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Sio wote ni wachache na pale wanaposumbua jua kuna jambo haliko sawa huwa Mara nyingi wanataka maslahi yao ( stahiki) zao kwa wakati bila mizungushano.
Hapa sizungumzii soka tu, hata kwenye business nyingine, waganda ni watata
 
Wadau wenzangu

Hizi ni tetesi zinazosambaa kwa kasi kubwa kama moto wa gesi.

Kwamba "Daktari wa Soka" sasa hapokei simu za Viongozi wake au muda mwingine huwa hapatikani kabisa.

Kwamba eti tabia yake imebadilika pakubwa siku za karibuni.

Kwamba mchezaji huyo raia wa Uganda ana mipango mkakati asiopenda kuwashirikisha waliomuajiri.

Mwenye Taarifa za uhakika atufahamishe.
Yale yale ya Morrison

Simba wanaionea sana Yanga

Khalid Aucho anatarajia kuingia leo Mkuu baada ya recovery.

Yanga sasahivi ni ngumu mchezaji kugoma eti kwa sababu ya kushindwa kulipwa stahiki zake.

Yanga wameingia mikataba minono huu msimu ko hela zipo za kushato mkuu.

Game ya Mbeya Kwanza na ile ya Tar11 atakuwepo tu mkuu🥱,Tuombe uzima tu inshallah!!
haya msemaji wa GSM, na mtaalamu wa mikataba minono.

Keshasajiliwa unyamani yule, mkataba wa miezi mitatu ya majaribio unaelekea kuisha.
 
Kama viongozi wa Yanga wanaweza kufanya upumbavu Kama huu baada ya issue ya Morrison, Basi watakuwa hawana akili na kitu rahisi wanachoweza kufanya ni kujiuzuru.
Lakini ninachojua hii ni propaganda kuelekea Desemba 11.

Hata kabla hajaja Yanga Aucho alikuwa national team player wa Uganda. Sasa mchezaji wa level hii unamjaribu nini yaani. Narudia, japo mpira wetu umejaa viongozi matapeli na wajanja wajanja. Lakini Kama Hersi na uongozi wameweza kufanya uijinga huu tena. Basi watakuwa wamejishushia heshima mbele ya kila mtu.
 
Back
Top Bottom