kipwate
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 517
- 509
Hayana madhara haya wekwi mara kwa mara lengo kuu punguza hakshi mwilini.....kipind tuko shule gar lilikuwa lime beba unga wa ugali madumu ya petrol yaka mwagikia unga humo,unga ugali una harufu ya petrol,wali ulikuwa na mavi ya panya maana stoo panya walikunya sana na maharage mafuta ya taa yana tiwa humo ...ukiwa una kula nyali (wali) ina bidi kutoa stata zile za kwenye taa nyeupe mle gizani usipate kuona mavi ya panya