Kuna ukweli kuhusu wanafunzi wa boarding kuwekewa mafuta ya taa kwenye chakula?

Sayansi ya wapi hiyo inasema mafuta ya taa yanapunguza hashiki au nyege??

Kuhusu vyakula vya shule muda fulani kuwa na wadudu kwenye unga,Mchele au maharage hiyo kawaida tu na tumekula sana hakukuwa na shida.

Hapa ni issue ya baadhi ya shule kuwekewa mafuta ya taa ktk Chakula ndiyo tatizo?? Kwanini iko hivyo??
Sifahamu mkuu ni sayans ya wapi ila utamaduni nimeukuta na kuacha huko shule na sio kwamba kila siku mafuta ya taa
 
Sifahamu mkuu ni sayans ya wapi ila utamaduni nimeukuta na kuacha huko shule na sio kwamba kila siku mafuta ya taa
Kiukweli nilikuwa sifahamu kabisa ila ni ujinga uliopitiliza bara la Africa.

Nimesoma O level mixture then A level Boys sikuwahi kusikia suala hili.
 
Wanafunzi wafundishwe kwa uwazi Elimu ya Afya ya Uzazi
Sasa hivi inabidi Bajeti ya Mafuta ya Taa inabidi iongezwe maana Faza hausi kishasema ukinasa Mimba jiandae kusoma Veta ushonaji
 
Minimization of traumatic stress which might arise frm libido
Ndiyo ule mafuta ya taa.... Kama sio ukichaa huo ni nini hapo!!

Nimesoma vitabu sijawahi kusoma eti kupunguza stress inayotokana na hali tofauti Hata hiyo libido eti sasa nenda kaweke mafuta ya taa kwenye Chakula halafu ule hicho Chakula na stress ya libido itakwisha.
 
Tc nat scientifically proved mkuu datz y u cant find written doc abt that......its mor local buh it does help smhow,,,,, datz wat I know
 
na kuna ile ya kuwekewa sabuni kwenye msosi kupunguza ile tabia ya wadada kuchekacheka kizembe
 
Tc nat scientifically proved mkuu datz y u cant find written doc abt that......its mor local buh it does help smhow,,,,, datz wat I know
Tusiwatese watoto kwa ujinga wa wazazi kielimu.Sikubaliani na suala hilo na nalaani vikali udhalilishaji wa aina hiyo kwa shule za Secondary zilizo na aina moja ya sex.

Mbona St Marian Secondary hawafanyi hivyo na hakuna lolote linalowapata wale watoto wa kike??
 
sawa mkuu
 
kawaida pale MUKIDOMA ARUSHA tulikua tunawekewa baadhi ya siku sio siku zote ..kuna siku unafeel kabisa kerosini
 
Back
Top Bottom