Kuna ukweli kuhusu Mr. Right?

Kuna ukweli kuhusu Mr. Right?

mzabzab mbususu za kule Mr Right show zinapatikana kweli au ni maigizo
 
@
Ni maigizo tu, we mtu unawezaje kwenda kutafuta mwenza wa maisha mbele ya camera na kascript juu.
Hata Marekani na Ulaya show za namna hii, kwa kiasi kikubwa huwa zinafeli. Japo ni entertainment nzuri sana!
Dah afu unakuta wako serious kabisa 🤣 ila dunia ya sasa
 
Back
Top Bottom