Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,258
wapo wanaoamini kwamba kukaa na GIRLFRIEND au BOYFRIEND kwa muda mrefu uhakika wa kuolewa au kuoa ni mdogo maana watu wanakuwa wamechokana na wanajuana vizuri hasa mapungufu baina yao ndio maana nowdays watu wanadumu kwenye uchumba kwa miezi 6 au mwaka halafu wanaoana...........hivi kuna ukweli kuhusu hili wadau
We jifujishe kwa mtu hadi Scrap Value iende negative ndo utapata habari yako! Mtu kashakukula weee hadi kakukinai akuoe wa nini? KIPYA HAKINYEMI INGAWA NI KIDONDA!
Yani Dada angu Umetafutwa mchana wa leo?!
Hehehe! sasa kama unamchoka mtu kwenye uboifrendi au ugelifrendi hivi ndoa itawezekana kweli?? au kwenye ndoa ndio hakuna kuishi pamoja??
Hapo sasa
Kweli kabisa Lara 1 hata mimi yamenikuta, nimenyonyesha libaba zima kwa miaka 5 sioni kinachoendelea zaidi ya kugegedwa tu.We jifujishe kwa mtu hadi Scrap Value iende negative ndo utapata habari yako! Mtu kashakukula weee hadi kakukinai akuoe wa nini? KIPYA HAKINYEMI INGAWA NI KIDONDA!