zema21 JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 619 Reaction score 257 Feb 12, 2013 #1 nimesikia ikinenwa kuwa eti mke wa mtu sumu, mume wa mtu maziwa! Kuna ukweli katika haya!? Kivp!?
Blue G JF-Expert Member Joined Jun 20, 2012 Posts 5,339 Reaction score 3,674 Feb 12, 2013 #2 Ukweli ni kuwa CHA MTU SUMU AU MA..............SO BOTH MKE AU MME WA MTU SUMU AU MA......................
Ukweli ni kuwa CHA MTU SUMU AU MA..............SO BOTH MKE AU MME WA MTU SUMU AU MA......................
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,031 Reaction score 168,655 Feb 12, 2013 #3 zema21 said: nimesikia ikinenwa kuwa eti mke wa mtu sumu, mume wa mtu maziwa! Kuna ukweli katika haya!? Kivp!? Click to expand... Watoto wazuri mpooo!!! Leo ntawasimulia hadithi ya sungura na fisi. Hadithi hadithiiiiiii
zema21 said: nimesikia ikinenwa kuwa eti mke wa mtu sumu, mume wa mtu maziwa! Kuna ukweli katika haya!? Kivp!? Click to expand... Watoto wazuri mpooo!!! Leo ntawasimulia hadithi ya sungura na fisi. Hadithi hadithiiiiiii
ndyoko JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 4,971 Reaction score 1,656 Feb 12, 2013 #4 Bujibuji said: Watoto wazuri mpooo!!! Leo ntawasimulia hadithi ya sungura na fisi. Hadithi hadithiiiiiii Click to expand... shemejiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
Bujibuji said: Watoto wazuri mpooo!!! Leo ntawasimulia hadithi ya sungura na fisi. Hadithi hadithiiiiiii Click to expand... shemejiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
Passion Lady JF-Expert Member Joined Nov 17, 2012 Posts 8,694 Reaction score 4,646 Feb 12, 2013 #5 zema21 said: nimesikia ikinenwa kuwa eti mke wa mtu sumu, mume wa mtu maziwa! Kuna ukweli katika haya!? Kivp!? Click to expand... hakuna ukweli wowote,kama mume maziwa bas mke ndio choclate kabisaaaa!
zema21 said: nimesikia ikinenwa kuwa eti mke wa mtu sumu, mume wa mtu maziwa! Kuna ukweli katika haya!? Kivp!? Click to expand... hakuna ukweli wowote,kama mume maziwa bas mke ndio choclate kabisaaaa!
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,590 Reaction score 28,761 Feb 12, 2013 #6 Kuna ukweli..... Mke wa mtu si wakugusa ni mali ya "mwenyewe"... Ila mume wa mtu "cha-wote"......
ummu kulthum JF-Expert Member Joined Feb 6, 2012 Posts 2,784 Reaction score 1,317 Feb 12, 2013 #7 zema21 said: nimesikia ikinenwa kuwa eti mke wa mtu sumu, mume wa mtu maziwa! Kuna ukweli katika haya!? Kivp!? Click to expand... kokotoa ki urahisi kabisaaa! mke=sumu mume= maziwa sumu + maziwa =sumu hakuna kwahiyo mke wamtu sumu +mume wa mtu maziwa= na hakuna sumu jibu ni mke wa mtu na mume wa mtu ruksa hakuna kunasina sumu ishatotewa na madhiwa
zema21 said: nimesikia ikinenwa kuwa eti mke wa mtu sumu, mume wa mtu maziwa! Kuna ukweli katika haya!? Kivp!? Click to expand... kokotoa ki urahisi kabisaaa! mke=sumu mume= maziwa sumu + maziwa =sumu hakuna kwahiyo mke wamtu sumu +mume wa mtu maziwa= na hakuna sumu jibu ni mke wa mtu na mume wa mtu ruksa hakuna kunasina sumu ishatotewa na madhiwa
JiweLinaloishi JF-Expert Member Joined May 24, 2008 Posts 3,737 Reaction score 2,139 Feb 12, 2013 #8 vyote vitamu tu kwasababu ni vya kuiba.....