Kuna ukweli katika hili?

Kuna ukweli katika hili?

IHOLOMELA

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
1,807
Reaction score
1,677
Ndugu wapendwa katika Jamvi. Hivi karibuni kulitokea msiba nyumbani kwetu. Shangazi yangu alifariki akiwa na umri wa miaka 97. Kabla ya kifo chake, wakati anaumwa pale Hospitali, nilimsikia daktari aliyekuwa anamhudumia Shangazi akimwambia Baba yangu ambaye ana miaka 86 kuwa "NA WEWE MZEE UTAFIKISHA MIAKA MIA MAANA INAONEKANA UKOO WENU NI SENTENIA". Hapo Sentenia sikuelewa...na sikupata muda wa kumuliza daktari. Wadau nifahamisheni
 
Back
Top Bottom