ALLEX JF-Expert Member Joined Mar 15, 2011 Posts 2,006 Reaction score 346 Aug 12, 2011 #1 kwa upande wangu mimi naona kuna ukweli 85% but kwa asian women ni 100% ukweli........wewe je ni maoni tu..
kwa upande wangu mimi naona kuna ukweli 85% but kwa asian women ni 100% ukweli........wewe je ni maoni tu..
IGWE JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 9,739 Reaction score 8,180 Aug 12, 2011 #2 labda......
First Born JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 5,317 Reaction score 1,485 Aug 12, 2011 #3 hujaweka cha kwangu, mi naangalia miguu(chupa ya bia)
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,047 Aug 12, 2011 #4 mimi naangalia mashine tu!!
Jestina JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 4,828 Reaction score 1,716 Aug 12, 2011 #5 sijapata picha ya mwisho haionekani vizuri asian women wanaangalia nini kutoka kwa wanaume...aliyeona vizuri anifafanulie
sijapata picha ya mwisho haionekani vizuri asian women wanaangalia nini kutoka kwa wanaume...aliyeona vizuri anifafanulie
F frankmshamimana Member Joined Feb 4, 2011 Posts 35 Reaction score 10 Aug 12, 2011 #6 Jestina said: sijapata picha ya mwisho haionekani vizuri asian women wanaangalia nini kutoka kwa wanaume...aliyeona vizuri anifafanulie Click to expand... <br /> <br />
Jestina said: sijapata picha ya mwisho haionekani vizuri asian women wanaangalia nini kutoka kwa wanaume...aliyeona vizuri anifafanulie Click to expand... <br /> <br />
F frankmshamimana Member Joined Feb 4, 2011 Posts 35 Reaction score 10 Aug 12, 2011 #7 @jestina, hiyo ni wallet with loads of credit cards..
Vin Diesel JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 9,087 Reaction score 6,393 Aug 13, 2011 #8 mie sijui....
Shantel JF-Expert Member Joined Feb 7, 2011 Posts 2,018 Reaction score 1,132 Aug 13, 2011 #9 kwa hiyo wale ndugu zetu nao ni wa asia au? kwa kweli kama nakubaliana nayi hivi emb ngoja waje wenzangu
kwa hiyo wale ndugu zetu nao ni wa asia au? kwa kweli kama nakubaliana nayi hivi emb ngoja waje wenzangu
Gaga JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 4,558 Reaction score 1,971 Aug 13, 2011 #10 dahhh tafiti zingine hizi?
Hute JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 6,537 Reaction score 6,483 Aug 13, 2011 #11 Jestina said: sijapata picha ya mwisho haionekani vizuri asian women wanaangalia nini kutoka kwa wanaume...aliyeona vizuri anifafanulie Click to expand... hao asians wanaangalia zaidi kama men ana kadi za bank za kutosha, si unaona wallet yake imejaa card za bank kibao! wenyewe ni mshiko....
Jestina said: sijapata picha ya mwisho haionekani vizuri asian women wanaangalia nini kutoka kwa wanaume...aliyeona vizuri anifafanulie Click to expand... hao asians wanaangalia zaidi kama men ana kadi za bank za kutosha, si unaona wallet yake imejaa card za bank kibao! wenyewe ni mshiko....